Nazan aina ya kesi inachangia cz Manji kama Manji ana madudu mengi yanayofahamika aliyofanya katika awamu iliyopita ambayo yangeweza kutumika..japo bado siamn kama itakua sababu ya kutokumuunga mkono kama wanaiunga mkono BARICK usishangae wao kumuunga mkono Manji kikubwa ni kua wengi ni majeruhi waliokua wamezoea kuzuga kupga kelele alafu mlango wa nyuma wanapiga deal na kuvuta ela ktk maeneo mengi. .ikiwemo kwenye kamati za bunge ..mashirika ..safari..tender n.k so wengi deal zmezibwa..wengne walikua wanatishia adi mashirika ya Umma kuwa watazuia bajeti za wizara zao wakipewa mgao wanatulia. .wakija kwa wananchi wanajifanya kutukana na kushambulia serikali kwa wanaowajua walikua wanawashangaa tu..
Sent using
Jamii Forums mobile app