Tunaelekea wapi!? Wapinzani leo wamegeuka wanamtetea Manji!!

Tunaelekea wapi!? Wapinzani leo wamegeuka wanamtetea Manji!!

ze jj

JF-Expert Member
Joined
Aug 20, 2012
Posts
522
Reaction score
630
kweli TANZANIA kuna mtu katuroga na hatorudi kutozindua. Ukiwatilia thread za miaka ya nyuma wadau wa upinzani waliibeza serikali kushindwa kuwachukulia hatua mafisadi. Walisema kinagaubaga kuwa akina manji wameweka serikali mifukoni.

Iweje leo wanashuglikiwa watu wamegeuka tena. Tuna safari ndefu. Muwe na kumbukumbu kuwa JPM hakuwa chaguo la mafisadi toka mwanzo alipochukua formu, ndo maana kamati kuu ilipompitisha mafisadi yalijiunga kutaka kumwangusha.

Sumaye na Lowassa walikua maadui miaka nenda rudi lakini kwa sabb ya maghufuli ilibidi wajiunge kulinda maslah yao. Video zmemuonyesha maghufuli kabla ya kuwa rais akilaumu unyonyaji, na alisema wezi watalimia meno, kwenye kampeni alisisitiza kabisa kuwa lazima mafisadi wakione cha moto.
 
Ili mradi wawe wamepinga hawaangalii wanachopinga kitaleta faida au hasara wanachotaka ni umaarufu wa kisiasa ambao wanaupata kwa wajinga wenzao

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwani Manji kipindi chote alichokuwa anafanya hayo madudu alikuwa analindwa na serikali iliyokuwa inaongozwa na chama gani wewe ?
 
Nazan aina ya kesi inachangia cz Manji kama Manji ana madudu mengi yanayofahamika aliyofanya katika awamu iliyopita ambayo yangeweza kutumika..japo bado siamn kama itakua sababu ya kutokumuunga mkono kama wanaiunga mkono BARICK usishangae wao kumuunga mkono Manji kikubwa ni kua wengi ni majeruhi waliokua wamezoea kuzuga kupga kelele alafu mlango wa nyuma wanapiga deal na kuvuta ela ktk maeneo mengi. .ikiwemo kwenye kamati za bunge ..mashirika ..safari..tender n.k so wengi deal zmezibwa..wengne walikua wanatishia adi mashirika ya Umma kuwa watazuia bajeti za wizara zao wakipewa mgao wanatulia. .wakija kwa wananchi wanajifanya kutukana na kushambulia serikali kwa wanaowajua walikua wanawashangaa tu..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
hahahaha! serikali n watu sio mzimu. wengine waliokuwa wanainfluence kuwalinda mmewachukua,
 
Tanzania haina Upinzani kuna wasaka tonge na wanafiki tu.
Kwanza hawajui wanasimamia lipi kwa sasa wala walisimamia lipi hapo awali!

Wakipingacho leo kesho wanakitetea
yaani hawaeleweki hata kukuosa hoja sio kwa hali hii
nahisi wana laana sio bure
 
Mada za kuponda upinzani zinaletwa asubui na Uvccm chini ya Polepole.
Ikifika mchana huwezi kuona mada kama hizi.

Changia mada husika wacha kuruka kiunzi
mna pinga lipi leo kesho mtalitetea!!
Huu ni upinzani au ujinga ujinga!
 
Tanzania haina Upinzani kuna wasaka tonge na wanafiki tu.
Kwanza hawajui wanasimamia lipi kwa sasa wala walisimamia lipi hapo awali!

Wakipingacho leo kesho wanakitetea
yaani hawaeleweki hata kukuosa hoja sio kwa hali hii
nahisi wana laana sio bure
Tafuta kwanza lengo la marufuku ya mikutano ya vyama vya siasa ndio useme Tz hakuna upinzani

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sijui ni sauti ya wanyonge au watetezi wa mafisadi ..yaani ni ngumu sana kuwaelewa wapinzani
 
si ongei na mbwa na ongea na mfuga mbwa unajua nani alitoa kauli hii na ali mwambia nani?
sasa mbwa kakua anamtafuna manji, acheni polojo hayo tuwa achie wahusika na mahakama tufanye yanayo tuhusu
Natabiri mtu atatoka jela baada ya awamu kumaliza mda wake
 
kweli TANZANIA kuna mtu katuroga na hatorudi kutozindua. Ukiwatilia thread za miaka ya nyuma wadau wa upinzani waliibeza serikali kushindwa kuwachukulia hatua mafisadi. Walisema kinagaubaga kuwa akina manji wameweka serikali mifukoni.

Iweje leo wanashuglikiwa watu wamegeuka tena. Tuna safari ndefu. Muwe na kumbukumbu kuwa JPM hakuwa chaguo la mafisadi toka mwanzo alipochukua formu, ndo maana kamati kuu ilipompitisha mafisadi yalijiunga kutaka kumwangusha.

Sumaye na Lowassa walikua maadui miaka nenda rudi lakini kwa sabb ya maghufuli ilibidi wajiunge kulinda maslah yao. Video zmemuonyesha maghufuli kabla ya kuwa rais akilaumu unyonyaji, na alisema wezi watalimia meno, kwenye kampeni alisisitiza kabisa kuwa lazima mafisadi wakione cha moto.
UTHIBITISHO KUTETEA HOJA YAKO PLS
 
Tafuta wewe uliole kosa kazi
Tanzania haina upinzani
kuna mamluki na Wasaka tonge tu
Upinzani upo sana na utakuweko,kura milioni 6 halafu unabinua kiuno unasema hakuna upinzani???Utakuwa na ugonjwa wa akili!
Kusingekuwa na upinzani,JPM asingepiga push up kuomba kura!!!!!
Na 2020 ataruka samasoti kuomba kura!!!!Kenge ninyi!
 
Back
Top Bottom