baz kaiza
JF-Expert Member
- Jan 27, 2015
- 14,684
- 18,131
kweli TANZANIA kuna mtu katuroga na hatorudi kutozindua. Ukiwatilia thread za miaka ya nyuma wadau wa upinzani waliibeza serikali kushindwa kuwachukulia hatua mafisadi. Walisema kinagaubaga kuwa akina manji wameweka serikali mifukoni.
Iweje leo wanashuglikiwa watu wamegeuka tena. Tuna safari ndefu. Muwe na kumbukumbu kuwa JPM hakuwa chaguo la mafisadi toka mwanzo alipochukua formu, ndo maana kamati kuu ilipompitisha mafisadi yalijiunga kutaka kumwangusha.
Sumaye na Lowassa walikua maadui miaka nenda rudi lakini kwa sabb ya maghufuli ilibidi wajiunge kulinda maslah yao. Video zmemuonyesha maghufuli kabla ya kuwa rais akilaumu unyonyaji, na alisema wezi watalimia meno, kwenye kampeni alisisitiza kabisa kuwa lazima mafisadi wakione cha moto.
Tatizo ni kuona haki inatendeka sio visasi mimi sio mpinzani lakini suala la Manji lina kitu nyuma ya pazia kila wakimpeleka mahakani ushaidi aujakamilika je walimshika wa nini kama hawana ushaidi ulikamilika yasijekua ya masamaki