never seen before!!nini hiki?
kwa lipi hasa na mwanamke ameumbwa kwa moyo wa chuma?ana damu ya njano?ana ngozi ya moto au au nini uyu mwanamke adi asemewe hivi?
weee Boss nimekuhifadhi!!!
Ni kweli usemayo kasimbaJamani hakuna kitu muhimu kinachohitajika kwa mpenzi wako kama Faraja faraja ni zaidi ya yote bibi na mabwana hapa jamvini
Bwana weye !
Kaaa kimya kama bado hujakutana na jua lenye mwa wa kibuluu; siku yako ya kujishangaa itafika labda uwe sadist! lakini kama ni mwanadamu mwenye kupenda furaha na amani ya moyo wake ; utakuja yatamka haya na zaidi hata ya haya!
kwa lipi?kwa hili la kuona mwanaume ana halali na mwanamke afanye yote hayo?
hakuna kitu kama icho,no wonder ndoa nyingi siku izi sifuri
unalo hilo
I can do all the above without any problem...mie nawashangaa wanawake wanahisi tabu...mtu mpe haki yake tuu bana yanini kujifanya kichwa ngumu... but not the last one honestly...khanga ya nini sasa!!!Well FL1 amenifanya nijiulize tunahitaji nini hasa kutoka kwa wapenzi/wake zetu? NImepata majibu yafuatayo:
a. Make us feel we have the biggest equipment in the whole known Universe, especially if it works good! - stop lalamikaling! and make love
b. Make us feel we the Superman of your world; when we do something right caress our ego. - stop lalamikaling and make love
c. Make us feel we rock your world everytime and when we don't don't gandamizaling? we will find solace in the arms of a stranger or your best friend! so make love!
d. Please don't take "her" hostage from us for long time please.. and stop using her as a "veto" to get what u want.. well.. if you use "her" right you will probably get everything you ever thought of wanting! and make love -stop lalamikaling - make love
e. Even if a man can cook or like doing house chores.. don't abuse that privilege.. please do cook..! and make love - may not in that particular order!
f. Well sometimes at home please just wear old fashioned khanga in the house.. I mean.. just Khanga...don't ask me why.. just make love!
And good food! the rest is easy!
well fl1 amenifanya nijiulize tunahitaji nini hasa kutoka kwa wapenzi/wake zetu? Nimepata majibu yafuatayo:
A. Make us feel we have the biggest equipment in the whole known universe, especially if it works good! - stop lalamikaling! And make love
b. Make us feel we the superman of your world; when we do something right caress our ego. - stop lalamikaling and make love
c. Make us feel we rock your world everytime and when we don't don't gandamizaling? We will find solace in the arms of a stranger or your best friend! so make love!
D. Please don't take "her" hostage from us for long time please.. And stop using her as a "veto" to get what u want.. Well.. If you use "her" right you will probably get everything you ever thought of wanting! And make love -stop lalamikaling - make love
e. Even if a man can cook or like doing house chores.. don't abuse that privilege.. Please do cook..! And make love - may not in that particular order!
F. Well sometimes at home please just wear old fashioned khanga in the house.. I mean.. Just khanga...don't ask me why.. Just make love!
And good food! The rest is easy!
I can do all the above without any problem...mie nawashangaa wanawake wanahisi tabu...mtu mpe haki yake tuu bana yanini kujifanya kichwa ngumu... but not the last one honestly...khanga ya nini sasa!!!
dah!!dah!
IT IS OLD FASHIONED SEXY!
ahahahhahaha gfsonwin ukuje!
AF ZAMANI KULIKUWA NA MIPWENTI HUMU BANA !DAH! Mzee Mwanakijiji hebu rudisha hawa wadau wa miaka hii!
japo sikuwepo jf kipnd hiki naimiss sana asee!