Mzee Mwanakijiji
Platinum Member
- Mar 10, 2006
- 34,266
- 44,691
I will make love to you like you can't believe!!!!!!!!and what will you give her for all that effort? telling a lie is HARD job! lol
boss wenzio wanachukia wake zao wanasoma vitabu..............wanaona hawapewi attention ya kutosha.
asprin...................u will make luv to me in what ways?
Muhimu pia wanawake wajifunze kusamehe kila siku....
Mwanaume kukosea hakuepukiki........
We abound to do mistakes......daily......
Halafu wanawake wajifunze kusoma vitabu
ili waweze kuwa kimya...
A lot of time wanazungumza
wanabwabwaja.......mwisho kero........
boss wenzio wanachukia wake zao wanasoma vitabu..............wanaona hawapewi attention ya kutosha.
asprin...................u will make luv to me in what ways?
Mkuu angalia usije kupigwa mawe...hilo swali lina mwenyewe hapo...LOL!Like never before!
Ama u said it all hawna maaana hawaHey girls, ladies and women. Kama wewe wa kulalamika, lalamika, kuna anayependa hivyo. Kama wewe wa kubwabwaja, bwabwaja, kuna anayependa hivyo. Kama wewe wa kimini, vaa hata ukiweza lala nacho. Kama wewe wa kanga moja, tena iliyochakaa, vaa uende sokoni!
Adjust for love in return, for only mutual relations. Live for youeself, don't live for someone. Ukijihini sana unakufa siku si zako, na kabla matanga hajaanuliwa mwenzio kaoa mwingine.
and what will you give her for all that effort? telling a lie is HARD job! lol
mmh just stream in LIBERAL way!!!!!!!!!!!!!
u just do what pleased u n wl pls u f4future run!!!!!
habari ya kuish kumridhisha HAMISI JOHN by the return of MAPIGO YA MOYO juu mmh apana jaman!!1
kila product ina consumer wake so just b yourself n u wl get ya type relevent to ya code!!!!!!!
ukiwa una tabia za kichui chui afu ukaoana na konokono what do u xpect?
tafuta class yako then ahhhhhhh rrrrraha tu!!!!