Tunabana matumizi kweli?

kuuuu

JF-Expert Member
Feb 24, 2016
590
511
Kwenda rwanda kwa gari zaid ya tisa halafu unaludi kwa ndege na gar ulizo enda nazo zinarud tena zikisaga tu mafuta, garama yake vip kama ungeenda tu na dege na ukarud na ndege?hapo tunabana matumiz kweli? Mlio na uzoefu wa garama za ndege jamani na gari kwenda rwanda na kurud hapa nyumban.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom