Tunaanza hivi....!!!! @Mwambao A Town

donlucchese

JF-Expert Member
Mar 23, 2011
17,092
21,773
IMG_20170506_110335.jpg
 
Aisee tumetofautiana kidogo sana
mimi hapo nina maharage na kisamvu
Sema sembe lipo juu sana wacha tule chapati tu
 
mbona hicho kigololi cha wali kidogo hivyooo ? mie ningeomba niongezewe kama hivyo vitano ndo nianze kula
 
Back
Top Bottom