Tuna waandishi na vyombo vya habari vya hovyo Tanzania

Kajole

JF-Expert Member
Apr 12, 2011
1,627
2,000
Tumekuwa na waandishi,wachapishaji na wahariri wa hovyo sana Tanzania.. Haieleweki huwa wanawaza nini mpaka wanafanya makosa makubwa ya kiuandishi namana hii. Mi sio mwandishi lkn makosa wanayofanya hata mimi nikipewa kazi hiyo siwezi fanya ujinga huu

Mfano kuna clip inazunguka ikisikika mtangazaji wa TBC akitamka mwana wa mfalme "princess" badala ya "prince". (Dada Mange kaipost).
Pia kuna gazeti limeandika " waliofariki ajarini wasimulia". Duh hili kweli tataizo tena sio tatizo dogo

tapatalk_1538203718828.jpeg
 
Bishop Hiluka

Verified Member
Aug 12, 2011
6,195

View attachment 881034
Sijaisoma hiyo habari ya Waliofariki ajali ya MV Nyerere wasimulia, lakini ni vyema kufanya utafiti kwanza kabla mtu hajakimbilia kuchallenge mambo na baadaye kuonekana mjinga. Kuna tofauti kubwa kati ya 'KUFARIKI' na 'KUFARIKI DUNIA'.

Neno 'kufariki' chanzo chake siyo 'kufa' bali ni 'faraka' yaani kuachana/ kutengana na ...; mfano marafiki wawili waliopendana wakaamua kuvunja urafiki basi huitwa 'wamefarakana' yaani wameachana! Hivyo basi mtu anapoishi duniani anakuwa ameambatana na dunia, pale mtu huyo anapoachana na dunia basi anakuwa 'amefarakana' na hiyo dunia au ametengana na hiyo dunia.

Ni sahihi kusema 'amefariki dunia' na siyo kuishia tu kwamba 'amefariki' ambapo huacha swali kwamba 'kafariki nini'?
 
PTER

JF-Expert Member
Dec 28, 2014
9,432

Kwahiyo hicho kichwa cha habari wewe umekielewaje ?
 
Kwa maana hiyo uliyoitaja hapo kichwa cha habari ni tata na hakijazingatia muktadha wa habari yenyewe.
Hoja ya mtoa mada inaendelea kuwa pale pale waandishi wa habari na wahariri ni wa hovyo
 
Bishop Hiluka

Verified Member
Aug 12, 2011
6,195
2,000
Kwahiyo hicho kichwa cha habari wewe umekielewaje ?
Sijaelewa kitu kwa kuwa sijaisoma hiyo habari. Kama umenisoma vizuri ndiyo maana nimeanza na maneno 'Sijaisoma hiyo habari ya Waliofariki ajali ya MV Nyerere wasimulia' ila nilichotaka kueleza ni maana ya neno 'kufariki'...
 
Bishop Hiluka

Verified Member
Aug 12, 2011
6,195
2,000
Kwa maana hiyo uliyoitaja hapo kichwa cha habari ni tata na hakijazingatia muktadha wa habari yenyewe.
Hoja ya mtoa mada inaendelea kuwa pale pale waandishi wa habari na wahariri ni wa hovyo
Ha ha ha...
 
Bishop Hiluka

Verified Member
Aug 12, 2011
6,195
2,000
Mbona umeishia kucheka mkuu?
Nimejikuta nawaza, "huenda kweli kichwa cha habari hakijazingatia muktadha wa habari yenyewe."... na kama ni kweli, basi upo sahihi kuwa "waandishi wa habari na wahariri ni wa hovyo"...
 
macho_mdiliko

JF-Expert Member
Mar 10, 2008
11,499
2,000
Sijaisoma hiyo habari ya Waliofariki ajali ya MV Nyerere wasimulia, lakini ni vyema kufanya utafiti kwanza kabla mtu hajakimbilia kuchallenge mambo na baadaye kuonekana mjinga. Kuna tofauti kubwa kati ya 'KUFARIKI' na 'KUFARIKI DUNIA'.

Neno 'kufariki' chanzo chake siyo 'kufa' bali ni 'faraka' yaani kuachana/ kutengana na ...; mfano marafiki wawili waliopendana wakaamua kuvunja urafiki basi huitwa 'wamefarakana' yaani wameachana! Hivyo basi mtu anapoishi duniani anakuwa ameambatana na dunia, pale mtu huyo anapoachana na dunia basi anakuwa 'amefarakana' na hiyo dunia au ametengana na hiyo dunia.

Ni sahihi kusema 'amefariki dunia' na siyo kuishia tu kwamba 'amefariki' ambapo huacha swali kwamba 'kafariki nini'?
Watu wa hovyo na wenye ubishi wa kijinga tu ndiyo wanaweza kuwa na mawazo ya kutetea uzembe wa kutokuwa makini uliotawala watanzania. Hili ni janga kubwa kabisa la kitaifa. Kuanzia kuandika mpaka knowledge ndogo ndogo ambazo hata mwanafunzi wa darasa la tatu huwa anazo unakuta watu wamefika Chuo kikuu hawajui! Akiandika mtu wa chuo na wa mtoto wa shule ya msingi huwezi kujua yupi ni yupi. Halafu unakuta wajinga ambao wako kutetea badala ya kuona tatizo.
 
Sijaelewa ulichoandika, na sijui povu na matusi yote hayo ya nini... Kashughulike kwanza matatizo yako kabla hujahamishia hasira zako kwa watu ambao hawahusiki na matatizo hayo...
 
macho_mdiliko

JF-Expert Member
Mar 10, 2008
11,499
2,000
Sijaelewa ulichoandika, na sijui povu na matusi yote hayo ya nini... Kashughulike kwanza matatizo yako kabla hujahamishia hasira zako kwa watu ambao hawahusiki na matatizo hayo...
Huwezi kuelewa hata mimi nakubali. Kma umeshindwa kuona tatizo alilosema mwanzisha thread ambalo liko dhahiri utaonaje mantiki ya mchango wangu?
 
Bishop Hiluka

Verified Member
Aug 12, 2011
6,195
2,000
Huwezi kuelewa hata mimi nakubali. Kma umeshindwa kuona tatizo alilosema mwanzisha thread ambalo liko dhahiri utaonaje mantiki ya mchango wangu?
Usikurupuke, ungesoma michango yangu ungeelewa nilichokusudia lakini kwa kuwa unadhani utatatua matatizo yako kwa kuhamishia povu kwa watu wengine wasiohusika umekuwa huna tofauti na kipofu... Hili ndo tatizo la vijana wa facebook kukimbilia Jamii Forums...
 
macho_mdiliko

JF-Expert Member
Mar 10, 2008
11,499
2,000
Usikurupuke, ungesoma michango yangu ungeelewa nilichokusudia lakini kwa kuwa unadhani utatatua matatizo yako kwa kuhamishia povu kwa watu wengine wasiohusika umekuwa huna tofauti na kipofu... Hili ndo tatizo la vijana wa facebook kukimbilia Jamii Forums...
Uzuzu wako uko hapa. Kutetea ujinga. Hopeless kabisa!
Sijaisoma hiyo habari ya Waliofariki ajali ya MV Nyerere wasimulia, lakini ni vyema kufanya utafiti kwanza kabla mtu hajakimbilia kuchallenge mambo na baadaye kuonekana mjinga. Kuna tofauti kubwa kati ya 'KUFARIKI' na 'KUFARIKI DUNIA'.
 
macho_mdiliko

JF-Expert Member
Mar 10, 2008
11,499
2,000
JInga kabisa, peleka huko mapovu yako... Mtoa mada yuko kimya lakini sielewi kwanini wewe unawashwa washwa...
Kama kuona upopoyo wako ni kuwa ''jinga'' basi wacha na iwe hivyo. Kwa hiyo wewe unaona mwanzisha mada ndiyo mwenye mandate ya kuonyesha ufyongo wako tu?
 
Top Bottom