Tuna waandishi na vyombo vya habari vya hovyo Tanzania

ukweli napinga kabisa wanavyosema waandishi wa habari wasidhibitiwe hawa ndio wanachangia sana kuwafanya watanzania wanakuwa wabishi kwa kuamini kila kinachoandikwa na magazeti ni sahihi wakati ukweli ni wapotosha ji wakubwa hata magazeti kama nipashe nayo yameingia mkumbo huo nilisoma habari beki wa yanga atakiwa ubeligiji niliponunua nikakuta ni beki wa Rayon ya Burundi ambayo ilisemekana yanga walitaka kumsajili sio kwenye michezo au habari za siasa au uchumi kote kumejaa upotoshaji
 
Back
Top Bottom