Kajole
JF-Expert Member
- Apr 12, 2011
- 1,667
- 1,642
Tumekuwa na waandishi,wachapishaji na wahariri wa hovyo sana Tanzania.. Haieleweki huwa wanawaza nini mpaka wanafanya makosa makubwa ya kiuandishi namana hii. Mi sio mwandishi lkn makosa wanayofanya hata mimi nikipewa kazi hiyo siwezi fanya ujinga huu
Mfano kuna clip inazunguka ikisikika mtangazaji wa TBC akitamka mwana wa mfalme "princess" badala ya "prince". (Dada Mange kaipost).
Pia kuna gazeti limeandika " waliofariki ajarini wasimulia". Duh hili kweli tataizo tena sio tatizo dogo