Tutasoma na kununua document zote za ufisadi, tutamjua kila fisadi nchi hii, wanaishi wapi , wameiba nini na shilingi ngapi, lakini what is the advantage of all that kama mwishowe hakuna kinachofanyika?
Miaka minne imepita tumesema kila kitu, na walio na upeo mdogo watasema tumefanikiwa hatujaona fedha yeyote iliyorudihwa na watu kuchukuliwa hatua
Ndio maana nasema why dont we stick kwa mkuu wa nchi? kila thread kila kona kila mtandao iwe JK , JK, JK fisadi!!!!! he was in first eleven, he is the head of everything never mention to mastermind many things!
kanunua waandishi tumeshajulikana tunapenda maneno zaidi kuliko action, so waachie WASEME KUHUSU UFISADI WASEME WEE, WAUZIANE DOCUMENTS......semeni kuhusu wengine woooooooooooooooooooooooote ila siyo JK huyu ni safi eti , huyu ni shujaa eti kwa kuwaachia watanzania kila wakiamka kuandika umbea fulani fisadi.
Hivi ndio uwezo wetu wa kufikiri umeishia hapa?
JF MPO?