Haya maisha yamekuwa mafupi sana, ukipata nafasi ya kumuonesha mtu upendo mwoneshe, akiumwa kamuone, akikuomba msamaha msamahe, ukimkumbuka kamjulie hali