Nyumba ya watoto wa darasa la saba angalau utakuta kuna mradi wa sungura tu kuku bstani ya mboga na tubiashara twa kuchuuza,📌🔨Naam, ashakum si matusi inauma lakini yaweza kuwa dawa.
Zamani mtu akimaliza darasa la saba alikuwa anakuwa na uwezo wa kukabiliana na changamoto zinazomzunguka,
Naweza kuamini kwamba baadhi ya masomo kama vile Sayansi kimu,sanaa,michezo na kilimo yalikuwa ni sababu ya kuwaimarisha kimwili kiakili na kiroho bila kusahau masomo ya Dini.
Kwa sasa sijui watoto huko shuleni wanafanya nini,,,kimsingi naona kama wanapoteza muda tu sababu Elimu haiwasaidii bora wale wanaozungukwa na migodi wanafanya mambo ya maana kuliko hawa wa vipsi kum yai,
Zamani ukienda nyumba ya mtoto aliyemaliza form four inakuwa tofauti sana na nyumba isiyokuwa na mtoto mwenye Elimu hiyo,,,utakuta nyumba mazingira safi ...imepangiliwa vyema kama kuna kaeneo kidogo utakuta amelima bustani ya mboga kwa nyuma na mauwa kwa mbele...wazazi wanaweza kumsapoti wakatiamo na tumfugo,
Nyumba ya watoto wa darasa la saba angalau utakuta kuna mradi wa sungura tu kuku bstani ya mboga na tubiashara twa kuchuuza,
EEee bana eeeh ngoja niishie hapa napata hasira na kutaka KUMTUKANENI MAMAAAE
Hii ni kama desturi uchagani ni ngumu mno kukuta mtoto wa msingi hana kuku zake au sunguraNyumba ya watoto wa darasa la saba angalau utakuta kuna mradi wa sungura tu kuku bstani ya mboga na tubiashara twa kuchuuza,📌🔨
Ambavyo alipaswa kuvipata shule.Uzuri kumekuwa na elimu huria, haipo kwenye mtaala rasmi wa elimu, ni mtaala ficho, mwanafunzi akimaliza shule/chuo kama hana sifa za kuajirika kwenye mfumo wa ajira anajiajiri mwenyewe kwa nguvu zake, akili zake, ubunifu, kipaji na ufundi.
Mkuu! Unabofya na kuandika ili chapisho ukiwa wapi?Naam, ashakum si matusi inauma lakini yaweza kuwa dawa.
Zamani mtu akimaliza darasa la saba alikuwa anakuwa na uwezo wa kukabiliana na changamoto zinazomzunguka,
Naweza kuamini kwamba baadhi ya masomo kama vile Sayansi kimu,sanaa,michezo na kilimo yalikuwa ni sababu ya kuwaimarisha kimwili kiakili na kiroho bila kusahau masomo ya Dini.
Kwa sasa sijui watoto huko shuleni wanafanya nini,,,kimsingi naona kama wanapoteza muda tu sababu Elimu haiwasaidii bora wale wanaozungukwa na migodi wanafanya mambo ya maana kuliko hawa wa vipsi kum yai,
Zamani ukienda nyumba ya mtoto aliyemaliza form four inakuwa tofauti sana na nyumba isiyokuwa na mtoto mwenye Elimu hiyo,,,utakuta nyumba mazingira safi ...imepangiliwa vyema kama kuna kaeneo kidogo utakuta amelima bustani ya mboga kwa nyuma na mauwa kwa mbele...wazazi wanaweza kumsapoti wakatiamo na tumfugo,
Nyumba ya watoto wa darasa la saba angalau utakuta kuna mradi wa sungura tu kuku bstani ya mboga na tubiashara twa kuchuuza,
EEee bana eeeh ngoja niishie hapa napata hasira na kutaka KUMTUKANENI MAMAAAE
utakuta mtu hana elimu hata ya saba, hana elimu ya ngumbaru ana hela zake kaanzisha shule/chuo halafu anaajiri wasomi na kuwalipa posho apendavyo. Mkizinguana anakutimua na huna pa kumshitaki kwa kuwa huna mkataba wa kueleweka kumfanyia kazi. Wanaanzisha miradi ya kuajiri wasomi huku hawana ujuzi nayo, wanadharau wasomi sana hawa ngumbaru wenye helaElimu imepoteza thamani yake haraka sana
Sebule✅kwahiyo unataka mtoto aendelee kulima mashuleni? kuhusu mradi wa sungura na kuku atafugia wapi wakati wanakaa nyumba za kupanga chumba na sebure?,,
labda kama unazumgumizia maisha ya kijijini,, ila kama umewajumlisha wote, kuna nafsi unazikosea
kikubwa umeelewa bwanaSebule✅
Ni huzuni kubwa kwa kweliutakuta mtu hana elimu hata ya saba, hana elimu ya ngumbaru ana hela zake kaanzisha shule/chuo halafu anaajiri wasomi na kuwalipa posho apendavyo. Mkizinguana anakutimua na huna pa kumshitaki kwa kuwa huna mkataba wa kueleweka kumfanyia kazi. Wanaanzisha miradi ya kuajiri wasomi huku hawana ujuzi nayo, wanadharau wasomi sana hawa ngumbaru wenye hela