Tuna fanya programming ya funguo za magari

Brainze11

Senior Member
Sep 2, 2012
173
56
Tuna fanya Programming ya funguo za magari zinazotumia sensor(transponder) na smart key(keyless or push to start key).kwa magari aina zote yaani TOYOTA,VW,BMW,FORD nk. Kama unahitaji funguo ya zaida au funguo umepoteza tunafanya Programming kwa bei nafuu. Pia kama kasha la funguo limechakaa unahitaji kubadili wasiliana nasi
SIMU:0714704097.
Email:info@wakudesahrt.com
Website:www.wakudesahrt.com
f3faf951ad92b2216ac2c3bb820b0a1b.jpg
3b0a95e62d9fe7a65b1360836bc9e975.jpg
a21421376dccada4ee298cece5801d62.jpg
 
Mmefanya jambo zuri kuweka hii kitu humu najua itawasaidia wengi sana.
 
Habari wadau,sisi ni Locksmith tecnician ambao tume base katika kufanya programming ya funguo za magari madogo na makubwa (trucks) ambazo zinatumia sensor, pia tunatoa pincode kwenye control za malori kam Iveco ambazo mara nyingi husababisha gari kutokuwaka. kama umepoteza funguo au unataka kuongeza ya ziada wasiliana nasi. tembelea website yetu kwa maelezo zaidi Wakudesahrt .Pia unaweza kutupigia kwenye namba 0714704097/0655222512 kwa maswali na ufafanuzi zaidi.
Kutengeneza ufunguo WA ziada WA WA Land Rover Discovery 3 itagharimu kiasi gani?
 
mkuuu hiyo bei umeua sana khaaaaa. milion 1.3 kuweni nahuruma basi bila shaka ww ni AMUR WA BINO

Sio hivo kaka kwa funguo za discovery zinagharama kwel tofauti na funguo nyingine, me sio Amur ila ni jamaa yetu hua tunashirikiana kwenye kazi
 
Sio hivo kaka kwa funguo za discovery zinagharama kwel tofauti na funguo nyingine, me sio Amur ila ni jamaa yetu hua tunashirikiana kwenye kazi
vipi nikitaka kujifunza hiyo ishu mkuu inakuwaje?
 
vipi nikitaka kujifunza hiyo ishu mkuu inakuwaje?

Kwa sahiv bado hatuja weka mambo yetu sawa,ila kuanzia mwez wa tatu kilakitu kitakua sawa,maana hilo la kufundisha mafundi wengine ni moja ya plan yetu
 
Kwa sahiv bado hatuja weka mambo yetu sawa,ila kuanzia mwez wa tatu kilakitu kitakua sawa,maana hilo la kufundisha mafundi wengine ni moja ya plan yetu
mkuu basi niandike kabisa jina langu.ofisi zenu zipo wapi??mkuu
 
Kusoma data kutoka kwenye control box kwa ajili ya kuprogram funguo ya subaru(smark key)

7d778c965b96518cc798444f81b74d90.jpg
 
@Brainze 11 unaweza ukawa na tacho softwere? kwaajili ya millage/odometer calculating?

coz natumia digipro3 so nikitoa eeprom kwanza nikisoma napata millage zilizopo nikitaka kuandika new millage then nikiweka okey inanipa neno hili CHECK WRITEN VALUE na kiforce basi inajiandika millage tofauti na zilizokusudiwa.

na vile vile na carprog so mahesabu ndio mtihan
 
Hapana hio software sina kaka
 
Back
Top Bottom