Tumwambie mumewe ukweli au?

HR mbea huyu, yamemkaa rohoni yamemshinda anajifanya kaja kuomba ushauri, ningeijua kampuni yako ningekuja moja kwa moja kwa boss wako na ningehakikisha unachukuliwa hatua stahiki
 

Vip yule Mwanaum emwingine,aliyemgegeda mke wa watu,Je akifukuzwa Kazi ana haki ya kujua kwa nini Mumewe amefukuzwa Kazi?
kwa sabubu picha inaonyesha wote watafukuzwa kazi
 
Siku hizi imekuwa ngumu kuwatofautisha wanaadamu na wanyama wa mwituni......
 
"Kuna Changudoa wengi sana maofisini na ktk ndoa" Masoud Masoud akiongea na Salama J
 
wewe pia unatakiwa ufukuzwe kazi kwa kutoa siri za ofisi nje
 

Bila kuingia ndani, kama una nia ya kumsaidia huyo mama na kwa vile ni kosa la kwanza (naamini hivyo) na kwa kuwa tayari anabeba aibu ya kujulikana alichokifanya ukizingatia ameolewa, na pia kwamba kanuni za ndani ya ofisi zinatoa options ya adahabu kama nilivyo bolid na ku underline hapo juu, written warning inamfaa.

Akipata suspension au termination, sababu itajulikana tu kwa mume wake na huo utakuwa mwisho wa ndoa yake.
 
Hilo ni janga! Mama mtu mzima ovyo. Koleo halibadilki kuwa kijikoTafuta tafsili ya neno maadili kisha endelea na uamzi sahihi.
 
HR mbea huyu, yamemkaa rohoni yamemshinda anajifanya kaja kuomba ushauri, ningeijua kampuni yako ningekuja moja kwa moja kwa boss wako na ningehakikisha unachukuliwa hatua stahiki

Tayari tumekupata,wewe ndo ulikuwa unamgededa huyu mama.
 

Ethics za kazi yako zinakwambia nini?
hakuna kingine zaid ya hicho.
 
Mtaua watu kwa pressure! Members wrote humu watakosekana ambao wake zao wamesimamisjhwa kazi kwasababu moja au ingine?!

Inaleta kesi nyingine pia maana kuna mume kasimamishwa kazi pia.
 
Huna akili
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…