Kwa muda mrefu mkuu huyu wa shule ya iseke muungano amekuwa katika mgogoro na diwani wa kata kutokana na juhudi mbalimbali anazofanya kuhakikisha shule inapata maendeleo ya kitaaluma amekuwa akijitahidi kuajiri waalimu wa muda kwa masomo ya sayansi ambayo yamekuwa hayana waalimu wa kutosha
Lakini amekuwa akipata vikwazo kutoka kwa diwani wa kata kwa kukataza wazazi kutoa ushirikiano kwa mkuu wa shule kiasi kwamba amekuwa akiendesha shule kwa shida sana pamoja na yote hayo viongozi wa elimu wilaya wakiongozwa na afisa elimu wamekuwa wakitoa elimu kwa wazazi juu ya umuhimu wa elimu kwa vijana wao pia umuhimu wa kuchangia mradi wa kuendeleza shule hususani ujenzi wa maabara ambao ni muhimu kwa wanafunzi wa masomo ya sayansi
Hivyo basi ni muhimu kwa jamii nzima ya kata ya iseke na wale wote ambao ni wazaliwa wa iseke kuunga mkono jitihada za mkuu huyu wa shule kwa mustakabali wa elimu kwa vijana wa kata husika pia tunaomba wazazi wawe tayari kubadilika ili kuunga mkono jitihada hizi za mkuu wa shule na sio kufanya siasa chafu za kuzuia maendeleo katika kata ya iseke Hongera mkuu wa shule kwa kusaidia shule kupata msaada wa sola pamoja na vitabu jitihada zako tunazitambua pamoja na vizingiti unavyokutana navyo kutoka kwa diwani.

Last edited: