Nashindwa kukuelewa Ndugu, mungu akusameheLissu ataombewa na familia yake. Rais Magufuli anastahili kuombewa na kila mtanzania.
Nashindwa kukuelewa Ndugu, mungu akusameheLissu ataombewa na familia yake. Rais Magufuli anastahili kuombewa na kila mtanzania.
Mbugila weweCC: MODS: Hili ni chapisho lenye maneno ya kebehi kwa mkuu ws nchi, ni chapisho lililoandikwa kwenye gazeti la mwanahalisi lililopelekea gazeti hilo kufungiwa. Sidhani kams ni busara lihamishiwe kwenye Jukwaa hili ambalo limejijengea heshima yake.
Eti nimwombee MAGU??? Hahaha
Nimerogwa!!
We jinga Kweli,Izi mada nyingine sasa tunazichoka, ni heri mods wakawa wanazifuta, mada zinajirudia rudia kwa siku post zinazomuhusu Lissu ni zaidi ya 10, ivi Chadema hakuna mada nyingine????
Leteni mada za kushika dola 2020, angalieni mbele
Angalia usije uka......wewe kabla yake ni vibaya sana kumuombea mtu kifo kifo hupangwa na Mungu.Mimi nilishasema, Lilisu bora linge....tu. Hahahaaaa, nimeogopa
Bora hata apuuzie tu![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]unahisi mungu ata ignore ombi lako
Inaonekana Watanzania asilimia kubwa wana matatizo ya akili maana naona kila seventy polisi wamepata kazi ya kutawanya wanao muombea Lisu. Mwenye akili ni wewe na Basite tuAtaombewa na kila mtanzania mwenye matatizo ya akili.
Hata mkewe naona hamuombeiMie kama Mtanzania hata kwa fimbo hatopata hata sala yangu moja.JPM aombewe na akina Bashite na Mkewe
Hizo mada unazotaka kwa nini usizilete wewe unazofikiri ndizo zifaazo???Izi mada nyingine sasa tunazichoka, ni heri mods wakawa wanazifuta, mada zinajirudia rudia kwa siku post zinazomuhusu Lissu ni zaidi ya 10, ivi Chadema hakuna mada nyingine????
Leteni mada za kushika dola 2020, angalieni mbele
Kama umemaindi kunya bogaHizo mada unazotaka kwa nini usizilete wewe unazofikiri ndizo zifaazo???
naona una kiherehere cha ku comment bila hata kuielewa post unayo nukuu.Inaonekana Watanzania asilimia kubwa wana matatizo ya akili maana naona kila seventy polisi wamepata kazi ya kutawanya wanao muombea Lisu. Mwenye akili ni wewe na Basite tu
ficha kidogo ujing ,,,,,,,,CC: MODS: Hili ni chapisho lenye maneno ya kebehi kwa mkuu ws nchi, ni chapisho lililoandikwa kwenye gazeti la mwanahalisi lililopelekea gazeti hilo kufungiwa. Sidhani kams ni busara lihamishiwe kwenye Jukwaa hili ambalo limejijengea heshima yake.
Mbona hata sasa Africa na dunia wanamwombea Lisu. Tatizo wapambe wa Magu hamumwambii ukweli kuwa Mungu yule wa Ukweli ameshachoka naye, labda wanaotaka kumwombea wamwombee kwa mungu wa BashiteLissu ataombewa na familia yake. Rais Magufuli anastahili kuombewa na kila mtanzania.
Waliolifungia gazeti hawakutoa sababu zinazohusu article hii. Hakuna kebehi bali ni ukweli mtupu aliousema Lisu. Wapambe ficheni ujuha wenu.CC: MODS: Hili ni chapisho lenye maneno ya kebehi kwa mkuu ws nchi, ni chapisho lililoandikwa kwenye gazeti la mwanahalisi lililopelekea gazeti hilo kufungiwa. Sidhani kams ni busara lihamishiwe kwenye Jukwaa hili ambalo limejijengea heshima yake.