samwel boaz
JF-Expert Member
- Jan 11, 2017
- 269
- 143
Usiogope mkuu, hatutaki msaliti katika nchiMimi nilishasema, Lilisu bora linge....tu. Hahahaaaa, nimeogopa
Usiogope mkuu, hatutaki msaliti katika nchiMimi nilishasema, Lilisu bora linge....tu. Hahahaaaa, nimeogopa
Wengine tulilijua hili tangu jana tuliposoma hii habari.Taarifa za chumbani zinaonyesha kwamba kufungiwa kwa MwanaHalisi kumetokana na andiko hili , mengine yote ni porojo tu .
Ndio hiyo mkuu.Mengine yote ni zuga tu.Makala hii ndiyo inayosemwa imechochea kufungwa kwa Mwanahalisi? Salary Slip
Kwalipi analofanya?Lissu ataombewa na familia yake. Rais Magufuli anastahili kuombewa na kila mtanzania.
Laana gani fafanua with vivid exampleUkimwombea lissu hiyo itakuwa ni laana kama sio upumbavu
magufuli ataombewa na wewe pamoja na makonda.Lissu ataombewa na familia yake. Rais Magufuli anastahili kuombewa na kila mtanzania.
Hayo yalikuwa maneno ya lissu sio mwanaharisiCC: MODS: Hili ni chapisho lenye maneno ya kebehi kwa mkuu ws nchi, ni chapisho lililoandikwa kwenye gazeti la mwanahalisi lililopelekea gazeti hilo kufungiwa. Sidhani kams ni busara lihamishiwe kwenye Jukwaa hili ambalo limejijengea heshima yake.
DuhNdio hiyo mkuu.Mengine yote ni zuga tu.
Ataombewa na kila mtanzania mwenye matatizo ya akili.Lissu ataombewa na familia yake. Rais Magufuli anastahili kuombewa na kila mtanzania.
Hii akili inaweza kweli kutengeneza mikakati imara ili sera yetu ya nchi ya viwanda ikamilike na tushuhudie viwanda halisi?CC: MODS: Hili ni chapisho lenye maneno ya kebehi kwa mkuu ws nchi, ni chapisho lililoandikwa kwenye gazeti la mwanahalisi lililopelekea gazeti hilo kufungiwa. Sidhani kams ni busara lihamishiwe kwenye Jukwaa hili ambalo limejijengea heshima yake.
Hatushangai maana hayo ndio mnayoyawezaMkuu mbona mwisho hapo hujasema kuwa hii ' taarifa / habari ' yote umeitoa ( yaani umeikopi na kupesti ) kutoka katika toleo la hivi majuzi tu la Gazeti lililokula ' mvua / kifungo ' leo la MWANAHALISI? Na safari hii wameweza kweli kwani mmpigwa ' pini ' kote kote katika Kuchapisha na hadi Online.
Tutaheshimiana tu Kudadadeki!
Nyamaza ukweli uwaingie.CC: MODS: Hili ni chapisho lenye maneno ya kebehi kwa mkuu ws nchi, ni chapisho lililoandikwa kwenye gazeti la mwanahalisi lililopelekea gazeti hilo kufungiwa. Sidhani kams ni busara lihamishiwe kwenye Jukwaa hili ambalo limejijengea heshima yake.
Lissu ataombewa na familia yake. Rais Magufuli anastahili kuombewa na kila mtanzania.
Utakufa wewe kabla ya LisuMimi nilishasema, Lilisu bora linge....tu. Hahahaaaa, nimeogopa