THINKINGBEING
JF-Expert Member
- Aug 9, 2010
- 2,779
- 1,304
Kufuatia kitendo cha maalim Seif kugoma kumpa Shain mkono kuna kamtindo kalianzishwa kakupiga picha za kuigiza tukio hilo huku ikishabikiwa kuwa ni kitendo cha kishujaa.
Umesema neno kuu kiongozi, wapiga makofi na waimba mapambio sijui watakuja na lipi. Walisifia uamuzi wa Maalim, leo wanasifia ustaarabu na hekima za Lowassa. Poor 'mules'!!!Seif alipogoma kutoa hata mkono wa salamu wale wafia chama wa UKAWA wakasifia kwa mapambio yote ingawa tulisema si hekima. Leo kipenzi chao picha zake zinazunguka then wanapiga propaganda kuwa ana hekima sana! Hii nchi tunaiharibu wenyewe wala si zimwi la CCM! Ujinga na ushabiki unatupeleka pabaya sana.
Okay...kumbe Lowasa alishindwa kihalali huku bara hapakuwa na wizi wa kura?kufananisha sababu za lowassa na seif ni ujinga kwani vitu hivi ni tofauti.
kule zanzibar seif kaibiwa kisha mwizi anakuja kukupa mkono lazima ukatae
magufuli amekataza maandamano huku wanaotaka kufanya hayo maandamano bado hawajafanya kwani muda ambao wamepanga kufanya bado haujafika anakupa mkono kwanini usipokee kwani baba akichukia anakwambieni leo humu ndani hamli lakini akitoka zake huko jioni anarudi na fuko la mizagazaga mnakula kwa hiyo tusubiri 1UKUTA2 UPO PALEPALE
Seif je????Lowasa ni mwanasiasa makini sana...
Mkuu uko sahihi, sasa hivi wataanza kushangilia na kusifia kitendo kile huku wakisema siasa siyo uadui wakati wiki iliyopita walimshangilia Seif kwa kukataa mkono wa Shein.Seif alipogoma kutoa hata mkono wa salamu wale wafia chama wa UKAWA wakasifia kwa mapambio yote ingawa tulisema si hekima. Leo kipenzi chao picha zake zinazunguka then wanapiga propaganda kuwa ana hekima sana! Hii nchi tunaiharibu wenyewe wala si zimwi la CCM! Ujinga na ushabiki unatupeleka pabaya sana.
Nilifikiri Lowassa naye aliibiwa ushindi.kufananisha sababu za lowassa na seif ni ujinga kwani vitu hivi ni tofauti.
kule zanzibar seif kaibiwa kisha mwizi anakuja kukupa mkono lazima ukatae
magufuli amekataza maandamano huku wanaotaka kufanya hayo maandamano bado hawajafanya kwani muda ambao wamepanga kufanya bado haujafika anakupa mkono kwanini usipokee kwani baba akichukia anakwambieni leo humu ndani hamli lakini akitoka zake huko jioni anarudi na fuko la mizagazaga mnakula kwa hiyo tusubiri 1UKUTA2 UPO PALEPALE
Kwa upande wangu seif yuko vizuri lakini siasa zake zina msimamo mkali sana mpaka sometimes anaharibu.Seif je????
mkuu naona umebadilisha avater!!Wale wanaopenda kuiga na waige
kufananisha sababu za lowassa na seif ni ujinga kwani vitu hivi ni tofauti.
kule zanzibar seif kaibiwa kisha mwizi anakuja kukupa mkono lazima ukatae
magufuli amekataza maandamano huku wanaotaka kufanya hayo maandamano bado hawajafanya kwani muda ambao wamepanga kufanya bado haujafika anakupa mkono kwanini usipokee kwani baba akichukia anakwambieni leo humu ndani hamli lakini akitoka zake huko jioni anarudi na fuko la mizagazaga mnakula kwa hiyo tusubiri 1UKUTA2 UPO PALEPALE
Ni kinyume na uhalisialowassa kapunguza makali ya UKUTA..
sidhan kama kuna watu watakuwa bado na mzuka wa kuandamana..
na nnavyo mjua mtukufu, atatumia vizuri hiyo kete.
ni vigumu kukataa mkono kanisani,
Ingekuwa heri asingeenda kabisa.
viva seif viva..