GE2025 Tumshukuru Samia kwa kutuvusha mpaka hapa, lakini tumwambie ukweli: Viatu havimtoshi

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
SA100 anabebwa na ukubwa wa chama chake, kumbuka cccm wanaweza wakamsimamisha hata kingwendu halafu akaitwa dr kisha raia tukaaminishwa yeye ni mpango wa Mungu hahhaaaaah
 
Tanzania inahitaji mabadiliko ya kimfumo si mtu, mifumo iko so weak kiasi kwamba inaendana na vibe la kiongoz anaekuwepo wakati huo na si kufuata misingi na sheria za nchi
Kama Tiss Kipindi cha Magufuli ilikua active sana kwenye kulinda Rasilimali na nidhamu kwa watumishi wa Umma
 
Tanzania inahitaji mabadiliko ya kimfumo si mtu, mifumo iko so weak kiasi kwamba inaendana na vibe la kiongoz anaekuwepo wakati huo na si kufuata misingi na sheria za nchi
kweli mifumo ina shida, ila shida waliyo nayo watanzania wenyewe yaweza kuwa kubwa na tatizo la msingi kuliko mifumo.
 
Kila zama na zama zake, kila awamu na kitabu chake, na kila rais na kiatu chake, kumfitisha rais Samia kiatu cha Magufuli ni kumuonea bure! JK ni JK, JPM ni JPM na Samia ni Samia, tusiwalinganishe!.

Post in thread 'Samia ni mpango wa Mungu kwa Tanzania: Kwa hili atabarikiwa, Taifa litabarikiwa. Asante Mungu kwa Samia, Mungu mbariki Samia, Mungu ibariki Tanzania!' Samia ni mpango wa Mungu kwa Tanzania: Kwa hili atabarikiwa, Taifa litabarikiwa. Asante Mungu kwa Samia, Mungu mbariki Samia, Mungu ibariki Tanzania!

The time ya kutekeleza haya, it's too little too late, October 29 ndio hiyo imefika, sasa ni kazi moja tuu, kutiki
P
Wewe naye unatuchosha na porojo zako
 
Historia hatujawahi kufurahia tulichonacho, alipoondoka Mwinyi kuja Mkapa watu walisema maisha magumu na Mkapa bora mzee ruksa, akaja Kikwete wakaja tena hapana bora Mkapa wizi umezidi, akaja JPM akatukanwa bora Kikwete na kaja Mama Samia anatukanwa bora JPM. Hakuna Raisi aliye madarakani asitukanwe. JPM alitukanwa sana akawa akitokea Kikwete tu sehemu anashangaliwa kama malaika katokea mpaka bungeni.
Ni kwa sababu tupo wengi, katika wingi huu huwezi Kosa watu Milioni mbili, Tatu mpaka tano n.k wa kutaka uondoke achilia mbali wale ambao uwepo wako unawanyima fursa kutokana na Sera zako na wale fuata upepo.
 
Mungu ndiye huweka tawala zote za mataifa, ni Mungu alimleta JPM akamtwa akamleta Samia, hivyo ni mpango wa Mungu, kwa nini anafaa au hafai sii kazi yetu ni kazi ya Mungu mwenyewe ila ameweza mengi tuu.

Huo ni mtazamo wako na tuna uheshimu ila nasi tuna mtazamo yetu kuwa she is the best ,uheshimu

Kwanza anza kuangalia ni lini watu walianza kumspot Mama Samia, mimi nilimspot 2010 New Cabinet: Baadhi ya Majina ni Haya Hapa!.

Bandiko hili ni la 2010, angalia hiyo 2010 tulisema nini kumhusu Samia, na nini kilikuja kutokea... mkiambiwa baadhi ya kauli zinaumba, mjue ni kweli kauli huumba!.

Kisha 2015 Siku ya Wanawake Duniani: Je, tuna Wanawake wenye sifa za Presidential Material?
Kauli Umba ya kuunda VP mwananke kwa Tanzania

Tanzania ilipata VP, mwanamke kwa mara ya kwanza, baada ya uchaguzi wa 2015, kuna wengi wanadhani ilijitokea tuu, Tanzania kuwa na VP mwanamke!, hawajui kuwa huo u VP wa mwanamke, kuna watu wenye kauli zenye powers za kuumba, walitoa kauli za kutaka tupate VP mwanamke, toka Machi 8, 2015!.

Then Siku ya Wanawake Duniani: VP Samia Suluhu: "Womanly, Genuine, Humble, Simple na Down To Earth!”

Hii ni kauli umba ya kumuumbia mtu urais wa JMT.

na hili "Watu waachwe Huru kuujadili Muungano"- VP, Samia Suluhu Hassan. Huyu mama anaongea vizuri kwa Unyenyekevu mpaka raha. Huchoki kumsikiliza
Angalia kwa makini hii kauli umba hapa iliumba nini?

Hoja za uwezo wa Samia kama ana uwezo wa urais na viatu vinamfiti au laa, nitakupitisha huko huko ili kama ni kupangua hoja upangulie kule.

P
Huyu Mayala amekuwa boya tu. Huo ni pango wa Mungu yupi ALLAH au YEHOVA. Kwa hiyo huyo Mungu wako alimuua Magufuli ili amweke Samia. Acheni kutumia dini kuhalalisha theory zenu za kijinga.
 
Hata akiingia ajaye,nothing will change.
Tanzania na Afrika inahitaji viongozi aina ya Nyerere,Gadaf, Gamal,Sankara,Nkurumah,Goita, & Traore na bahati mbaya wakitokea western countries wana waua.
Inahitaji zaidi ya ujasiri Africa kuondokana na huu mkwamo.
Mbona hujamtaja MEKO aise! umekosea sana!
 
kweli mifumo ina shida, ila shida waliyo nayo watanzania wenyewe yaweza kuwa kubwa na tatizo la msingi kuliko mifumo.
Wewe chawa mwandamizi uliyekosa haya ya kutetea movu ya shetani wako samia, nimeona umenijibu kule halafu moderators wakaja kufunga uzi...

Acha nikujibu hapa hapa badhi ya hoja zako ulizoniwekea kule maana zina maudhi sana na mimi siwezi kuvumilia, huwa sina kawaida ya kuziacha hoja za kipumbavu zipite maana itakuwa kama nimekubaliana na upumbav wako.

Unadai kwamba kanisa sasa hivi ni centre of critics kwa serkali hii dhalimu ya shetani samia, ukiwa na maana kwamba nguvu inayotumika kuikosoa serikali ya samia ni kubwa sana ukilinganisha na nguvu ambayo ilitumika kukosoa serikali ya Magufuli.... kwa hiyo kumbe tatizo la kanisa letu sio kuikosoa serikali ya Samia bali ni level ya magnitude ya ukosoaji si ndio?

Yaan una maana kwamba kama ambavyo maaskofu wetu walimkosoa Magufuli kwa kiasi basi hata Samia naye walipaswa kumkosoa kwa kiasi si ndio maana yake?

Kwa hiyo kumbe haya matukio yote ya kuwateka mapadri anayofanya mama ako samia na genge lake lengo ni kuwanyamazisha kabisa Mapadri waache kumkosoa au waikosoe serikali yake kwa kiasi si ndio maana yake?

Na pia unasema kuwa kuna collective organisation ambayo ukosaji wake umekaa katika namna ya kuhamasisha uhasi, aisee wewe jamaa hata aibu huna kabisa mbwa wewe.. unaweza ukaniambia kauli hata moja ambayo imetolewa na viongozi wetu wa kanisa yenye mlengo wa kuhamasisha uhasi?

Mama ako shetani samia alivyoenda kule mtwara na kuwashikisha masister wetu mabango ya picha yake wakati huo siku chache nyuma alikuwa ametuma wahuni waende wakamshambulie father Kitima, ilibidi tuwapige stop masister wasishiriki ule ujinga maana hakuna uchaguzi mwaka huu, bali kuna uchafuzi..!!

Typical semi-illiterate muislim mentality, it is so hard to find any of you with proper reasoning as a sane human being.

Yaani hoja yenu ya udini imekaa kipuuzi na kitoto mno, nafikiri ni kwa sababu wengi hamna shule kichwani,..

Yaani nyie mlitaka viongozi wetu wa dini wakalie kimya maovu yote yanayoendelea hapa nchini eti kisa maovu hayo sio mageni si ndio maana yake?

Yaan Ulitaka TEC wakae kimya wasiikumbushe serikali wajibu wake kulinda usalama wa watu wa haya matukio yanayotokea hapa nchin, eti kisa tu raisi ni muislamu???

Kwa hiyo nyie kwa akili zenu mlikuwa mnataka sasa hivi wakristu tusikemee utekaji,mauaji na ufisadi mpaka pale Samia atakapomaliza awamu yake na kuja raisi mwingine ambaye sio muislam ndio tutaonekana sisi sio wadini eti ehee?

Ulitaka TEC nao wawe wanafiki kama mashekh ambao wanasema hali ya usalama wa nchi kwa sasa ni shwari licha ya kwamba kila siku watu wanapotea halafu siku chache baadae wanapatikana wakiwa tayari ni maiti?

Unafikiri viongozi wa kikatoliki nao ni wajinga wajinga wasiokuwa na shule kama wa huko upande wenu eti ehee?

Hakika wewe ni mpuuzi sana na bado nasisitiza wewe ni mtu mwenye lowest IQ kama mama ako samia tu, yaan upumbavu ulionao hautofautiani sana na upumbavu wa shetani samia ambaye ameamua kupambana na kanisa letu bila kujali hatima yake.

Na nikuhakikishie tu TEC hawatoacha kusimama kwenye ukweli, pale kuisemea jamii watasema, kwenye kuikosoa serikali watakosoa, haijalishi hata kama mtawateka viongozi wetu wote wa kanisa.

Kama mama ako shetani samia ni amri jeshi mkuu na ana nguvu mwambie alifungie kanisa letu Roman Catholic maana hatutaacha kukemea ushetani anaoufanya yeye pamoja na genge lake.

Kuhusu JWTZ siwezi kuongea sana, kila mtu anajua samia anenda kuongoza jeshi(kama atapita salama hii october) ambalo tayari limegawanyika, na hawezi kudumu madarakani.

Kama kweli samia angekuwa anaongoza jeshi ambalo halijagawanyika, mpaka dakika hii tayari tungekuwa tumemfukuza Tesha na anasubiri kumoandisha kwenye Court Marshall, ila badala yake mpaka sasa hivi kimyaaa...

....ameamua kumtuma Mkunda aende kwenye kila kambi kumuombea support mambo yakivurugika.

Shetani samia is the most hated president in the history of our country hata yeye mwenyewe analijua hili na ndio maana hata kwenye mikutano yake ya kampeni anajaza watoto wa shule tu licha ya kwamba anayegombea ni yeye mwenyewe!

Angalia jana huko marekani aliwatuma watumishi wa ubalozi wa marekani wakawalipe homeless wa kimexico hili wamtangaze eti anakubalika.. jambo ambalo limegeuka kuwa kituko cha mwaka... raisi anayependwa na watu hawezi kufanya ule ujinga wa kutumia kodi za wanainchi kipuuzi vile.

Endelea kubaki kwenye denial ila mama ako shetani mwenzako samia hana muda mrefu ataondoka kwenye hicho kiti cha uraisi kwa aibu kubwa sana.. na nyie machawa wake mtakuwa kama makondoo mbwa nyie, sasa hivi endeleeni kuteka watu na kisha kuwatupa maporini kisha baadae mnaibuka kwenye media na kusema kwamba walijiteka.

Endelea kusema nchi iko salama, mpaka pale ndugu yako wa karibu atakapokuja kuokotwa huko mwabepande baada ya kupotea siku tatu.
 
Kwa ustaarabu kabisa, tunamshukuru mama kutufikisha hapa baada ya taifa kupata msiba na mripuko wa gonjwa la COVID19. Tunamshukuru, pamoja na kuwa uongozi wake umegubikwa na kashfa nyingi za rushwa na ukiukwaji mkubwa wa haki z binadamu. Tunamshukuru, amefanya alivoweza na miaka hii minne imekuwa kipimo kizuri sana kama anafaa.

Ukweli na usemwe, mama hana uwezo (achilia mbali mambo ya rushwa na utekaji). She is utterly inept. Na tunaposema hatoshi hatusemi hivo kwa chuki wala ushabiki. Ni kwa roho safi kabisa ya kuwa tunahitaji kiongozi mpya anayeweza kutupush kwenda mbele.

Dunia ya sasa inakimbilia kwenye technlogy, ukiona mataifa yanavogombania uzalishaji wa chips kwa ajili ya kutengeneza AI data centers, clean energy, personalized medicine na mambo kibao. Siye bado tuna angaika na visima na street lights.

Leo nipo hapa Taiwan, hawa jamaa wameanza kutengeneza one of the largest data centers ambazo zitakuwa zina serve Dunia katika Ulimwengu wa AI. Inafurahisha sana kuona mambo kama haya yanafanywa na mataifa madogo-kumaanisha ya kwamba wakiwepo viongozi makini mambo yanawezekana.

Mama pumzika, unazo pesa za kula hata kama utaishi miaka mingine 200. Liachie taifa lipate akili mpya.
Mavi matupu. Katuvusha au katuzamisha?
 
Wewe chawa mwandamizi uliyekosa haya ya kutetea movu ya shetani wako samia, nimeona umenijibu kule halafu moderators wakaja kufunga uzi...

Acha nikujibu hapa hapa badhi ya hoja zako ulizoniwekea kule maana zina maudhi sana na mimi siwezi kuvumilia, huwa sina kawaida ya kuziacha hoja za kipumbavu zipite maana itakuwa kama nimekubaliana na upumbav wako.

Unadai kwamba kanisa sasa hivi ni centre of critics kwa serkali hii dhalimu ya shetani samia, ukiwa na maana kwamba nguvu inayotumika kuikosoa serikali ya samia ni kubwa sana ukilinganisha na nguvu ambayo ilitumika kukosoa serikali ya Magufuli.... kwa hiyo kumbe tatizo la kanisa letu sio kuikosoa serikali ya Samia bali ni level ya magnitude ya ukosoaji si ndio?

Yaan una maana kwamba kama ambavyo maaskofu wetu walimkosoa Magufuli kwa kiasi basi hata Samia naye walipaswa kumkosoa kwa kiasi si ndio maana yake?

Kwa hiyo kumbe haya matukio yote ya kuwateka mapadri anayofanya mama ako samia na genge lake lengo ni kuwanyamazisha kabisa Mapadri waache kumkosoa au waikosoe serikali yake kwa kiasi si ndio maana yake?

Na pia unasema kuwa kuna collective organisation ambayo ukosaji wake umekaa katika namna ya kuhamasisha uhasi, aisee wewe jamaa hata aibu huna kabisa mbwa wewe.. unaweza ukaniambia kauli hata moja ambayo imetolewa na viongozi wetu wa kanisa yenye mlengo wa kuhamasisha uhasi?

Mama ako shetani samia alivyoenda kule mtwara na kuwashikisha masister wetu mabango ya picha yake wakati huo siku chache nyuma alikuwa ametuma wahuni waende wakamshambulie father Kitima, ilibidi tuwapige stop masister wasishiriki ule ujinga maana hakuna uchaguzi mwaka huu, bali kuna uchafuzi..!!

Typical semi-illiterate muislim mentality, it is so hard to find any of you with proper reasoning as a sane human being.

Yaani hoja yenu ya udini imekaa kipuuzi na kitoto mno, nafikiri ni kwa sababu wengi hamna shule kichwani,..

Yaani nyie mlitaka viongozi wetu wa dini wakalie kimya maovu yote yanayoendelea hapa nchini eti kisa maovu hayo sio mageni si ndio maana yake?

Yaan Ulitaka TEC wakae kimya wasiikumbushe serikali wajibu wake kulinda usalama wa watu wa haya matukio yanayotokea hapa nchin, eti kisa tu raisi ni muislamu???

Kwa hiyo nyie kwa akili zenu mlikuwa mnataka sasa hivi wakristu tusikemee utekaji,mauaji na ufisadi mpaka pale Samia atakapomaliza awamu yake na kuja raisi mwingine ambaye sio muislam ndio tutaonekana sisi sio wadini eti ehee?

Ulitaka TEC nao wawe wanafiki kama mashekh ambao wanasema hali ya usalama wa nchi kwa sasa ni shwari licha ya kwamba kila siku watu wanapotea halafu siku chache baadae wanapatikana wakiwa tayari ni maiti?

Unafikiri viongozi wa kikatoliki nao ni wajinga wajinga wasiokuwa na shule kama wa huko upande wenu eti ehee?

Hakika wewe ni mpuuzi sana na bado nasisitiza wewe ni mtu mwenye lowest IQ kama mama ako samia tu, yaan upumbavu ulionao hautofautiani sana na upumbavu wa shetani samia ambaye ameamua kupambana na kanisa letu bila kujali hatima yake.

Na nikuhakikishie tu TEC hawatoacha kusimama kwenye ukweli, pale kuisemea jamii watasema, kwenye kuikosoa serikali watakosoa, haijalishi hata kama mtawateka viongozi wetu wote wa kanisa.

Kama mama ako shetani samia ni amri jeshi mkuu na ana nguvu mwambie alifungie kanisa letu Roman Catholic maana hatutaacha kukemea ushetani anaoufanya yeye pamoja na genge lake.

Kuhusu JWTZ siwezi kuongea sana, kila mtu anajua samia anenda kuongoza jeshi(kama atapita salama hii october) ambalo tayari limegawanyika, na hawezi kudumu madarakani.

Kama kweli samia angekuwa anaongoza jeshi ambalo halijagawanyika, mpaka dakika hii tayari tungekuwa tumemfukuza Tesha na anasubiri kumoandisha kwenye Court Marshall, ila badala yake mpaka sasa hivi kimyaaa...

....ameamua kumtuma Mkunda aende kwenye kila kambi kumuombea support mambo yakivurugika.

Shetani samia is the most hated president in the history of our country hata yeye mwenyewe analijua hili na ndio maana hata kwenye mikutano yake ya kampeni anajaza watoto wa shule tu licha ya kwamba anayegombea ni yeye mwenyewe!

Angalia jana huko marekani aliwatuma watumishi wa ubalozi wa marekani wakawalipe homeless wa kimexico hili wamtangaze eti anakubalika.. jambo ambalo limegeuka kuwa kituko cha mwaka... raisi anayependwa na watu hawezi kufanya ule ujinga wa kutumia kodi za wanainchi kipuuzi vile.

Endelea kubaki kwenye denial ila mama ako shetani mwenzako samia hana muda mrefu ataondoka kwenye hicho kiti cha uraisi kwa aibu kubwa sana.. na nyie machawa wake mtakuwa kama makondoo mbwa nyie, sasa hivi endeleeni kuteka watu na kisha kuwatupa maporini kisha baadae mnaibuka kwenye media na kusema kwamba walijiteka.

Endelea kusema nchi iko salama, mpaka pale ndugu yako wa karibu atakapokuja kuokotwa huko mwabepande baada ya kupotea siku tatu.
Nilikupa condition ya lugha bwana wa IQ kubwa, hivyo nakutangazi ushindi ktk mjadala ! wewe ni mjuzi sana! wewe wajua! mtashinda ktk mapinduzi ya nchi kwa kuandamana kama mnavyo ratibu! Na nchi haiko salama ! Thanks for your time!
 
Huyu Mayala amekuwa boya tu. Huo ni pango wa Mungu yupi ALLAH au YEHOVA. Kwa hiyo huyo Mungu wako alimuua Magufuli ili amweke Samia. Acheni kutumia dini kuhalalisha theory zenu za kijinga.
Allah ndie Yehova, Pakistan na Waislamu ni watoto wa baba mmoja, Nabii Ibrahim, Waislamu ni uzao wa mwanae wa kwanza Ismael na Wakristo ni uzao wa mwanae wa pili Isaka.

Bwana haui bali huleta na hutwaa, Bwana alimleta Magufuli, akamtwaa na kutuletea Samia.
P
 
nyerere alituvusha wapi? zaidi ya kututoa kabisa kwenye ramani ya maendeleo
 
hilo sio tatizo la Samia, bali ni tatizo la watanzania kwa ujumla.
 
Kila zama na zama zake, kila awamu na kitabu chake, na kila rais na kiatu chake, kumfitisha rais Samia kiatu cha Magufuli ni kumuonea bure! JK ni JK, JPM ni JPM na Samia ni Samia, tusiwalinganishe!.

Post in thread 'Samia ni mpango wa Mungu kwa Tanzania: Kwa hili atabarikiwa, Taifa litabarikiwa. Asante Mungu kwa Samia, Mungu mbariki Samia, Mungu ibariki Tanzania!' Samia ni mpango wa Mungu kwa Tanzania: Kwa hili atabarikiwa, Taifa litabarikiwa. Asante Mungu kwa Samia, Mungu mbariki Samia, Mungu ibariki Tanzania!

The time ya kutekeleza haya, it's too little too late, October 29 ndio hiyo imefika, sasa kazi ni moja tuu, kutiki!.
P
Wewe unatetea tumbo lako tu hapo, ila hatuna mtu pale, hakuna mtu wa kuongoza taifa pale, tusiongee vitu kwa vile tuna personal benefits, tuongee kwa maslahi mapana, hakuna kazi pale.
 
Yeyote aliyethubutu kumuambia sa100 maneno yanayofanana na hayo hadharani ni ama muda huu yuko gerezani (mfano lissu) au ametekwa na kuuawa!!.
 
Back
Top Bottom