Tumshinikize Rais Samia kuhusu satellite ya Tanzania...

Tumshinikize Rais Samia kuhusu satellite ya Tanzania...

Internet ya Satelite ni gharama zaidi kuliki fibre na hata speed nayo ipo chini sana.

Labda kwa ajili ya matumizi mengine.
Please explain zaidi..
Kama kuna watu kama Elon musk anataka
Internet ikiwezekana iwe bure kabisa na atatumia Satellite...
Why Sisi isitusaidie?

Now kampuni zetu za simu kama zantel wanatumia Satellite za nje..
Wakitumia ya ndani bei haiwezi shuka?
 
Wewe sikiamini kabisa,nakumbuka wakati Magu anachukua nchi ulishauri anunue ndege,baada ya kuzinunua wewe ukabadilika tena kuanza kusema kwa nini kununua ndege

Tafadhali naomba nioneshe nilipo mshauri Magufuli anunue ndege
Inawezekana umechanganya id
 
Back
Top Bottom