Pionaire
JF-Expert Member
- Oct 24, 2012
- 1,603
- 1,133
Habari kwa wapenzi wote wa video games za mpira, kama nilivyoweka kwenye tittle ya thread hii kuwa mchezaji nyota wa club ya Real Madrid na captain wa timu ya taifa ya Colombia, James Rodriguez akiwa amechaguliwa kama mmoja ya footbal legends for FIFA-17 anayewania kutumika katika cover page ya video game ya FIFA version ya FIFA-17 ambayo bado haijaachiwa rasmi na FIFA kupitia affiliate company yake ya electronic arts(ea- sports).
Kwa kumpigia kura ili kumuwezesha kuwa cover page star kwa fifa-17, akichuana na mastaa kama hazard wa chelsea, martial wa man-u, reus wa dortmund.
Tembelea hapa ==>> Rodriguez for FIFA-17 kuweza kumpigia.