Tumsaidie Rais Samia kuijenga nchi hii

Tumsaidie Rais Samia kuijenga nchi hii

Mkuu hiyo ingekuwa haina agenda nyingine na inakinga kweli hata mie ningeifuata nje! Hii ya sasa si kitu kihivyo! Na inamadhara sana!
Mkuu hayo madhara umeyafanyia tafiti kwa HAO WALIOCHANJWA?!!!

Research yako ina SAMPLE SIZE kiasi gani ?!!!

Ama unaongelea tu "conspiracy theories" kwa maneno ya "kusikia" na "kuambiwa " tu ?!!!!
 
Kwani ww unao ushahidi wa kutosha tena kwa vizazi kadhaa kuwa hayo ma'chanjo' yao hayana madhara sasa na muda mrefu?
Au unasubiri samahani miaka 5 baadaye kuwa tuliwadunga kimakosa na sasa hamtazaa 'fertile offsprings'🤔!
Inahitaji muda wa kutosha kujihakikishia usalama!
Tembelea websites zao na testimonies za waliochanjwa na kufa!
 
Kwani ww unao ushahidi wa kutosha tena kwa vizazi kadhaa kuwa hayo ma'chanjo' yao hayana madhara sasa na muda mrefu?
Tembelea websites zao na testimonies za waliochanjwa na kufa!
To every action there is an equal and opposite reaction.....

Sasa Kama unaamini hao watoao chanjo ni WAONGO NA WAZUSHI....ni vipi itashindikana kwa waipingayo chanjo hiyo KUTENGENEZA FALSE ACCUSATIONS NA TESTIMONIES za uongo?!!!

Sawa mkuu kuchanja ni hiyari....ngojea mimi na wenzangu TUJITOLEE KUCHANJWA kama subjects za RESEARCH zenu.....

#ChanjoYaUvikoNiHiyari
#KaziIendelee
 
Haipaswi kuwa hivyo mkuu! Urgency is uncall for! Covid-19 siyo hatari zaidi ya malaria au ukimwi!
Labda kama unataka uwe unajiwashia bulbs zako bila luku maana tumeambiwa waliochanjwa wakisogeza bulb inawaka😜! Lakini siyo kwa kujikinga na covid-19!
 
Haipaswi kuwa hivyo mkuu! Urgency is uncall for! Covid-19 siyo hatari zaidi ya malaria au ukimwi!
🤣🤣
Si hatari na baadhi ya watanzania wanapumulia GESI YA OKSIJENI?!!

Kwani ww unapumua nini mkuu! Na icu zina kazi gani hospitalini...hakuna cha ajabu hapo! Ktk 100 covid-19+ve, unafikiri ni wangapi wanafikia icu! Tena tunazo traditional remedies zinazoweza kuzuia hata kwa hao wazifikie huko! Bora ku'promote'herbs zetu zenye uthibitisho wa ubora na usalama kuliko hizo sumu!
 
Mkuu umeshakuwa na mentality za uhafidhina....dokta wako atakuwa hayati Sebi eee?!!! 🤣🤣
 
Samia = Magufuli

1. Sabaya yuko kisongo
2. Polepole CCM ni nobody
3. Bashiru CCM ni nobody
4. Uamsho wako huru
5. Mdude yuko huru
6. Corona tunaongelea chanjo
7. Nk

True, Samia = JPM lakini si kwenye dhuluma yoyote au uvunjaji katiba.

Hiyo ndiyo habari yenyewe.
Uko na mama Lisu unamwachia nani?
 
Utamsaidia kuijenga nchi na hali ndo mbomoaji?
kwa nini serikali yake aliwaweka watotot wa mjini yaani wapigaji?.
Rais wa kwenye mawe.
Mwenye upara masaa 24 utadhani kichwa ni tako.
Siku akiwachomoa hao kutoka serikali yake nitatoa ushauri nini cha kufanya kwa hao walobaki,na nahisi ndo sababu ya PM kupungusa kasi ya utendaji
 
Alibadilika baada ya siku 100 ofisini. Kumbuka alivyokatisha wengi tamaa:

Matumaini yote ya siku 100 aliyowapa Wananchi yazikwa na kauli ya dk 1

Tuna simama na haki, usawa, uhuru na demokrasia.

Katika kila hatua zake mama atavuna anachopanda.
 
Hiyo katiba msubiri mpaka uchumi wetu uwe kama marekani. Halafu bavicha mshaambiwa mapema hakuna mikutano ya hadhara, msije baadae kutaka kuleta ujinga wenu
Mkuu bado upo au umepotea naona husikiki tena? Umeshaliwa kichwa?
 
Back
Top Bottom