Tumsaidie Rais Samia kuijenga nchi hii

Tumsaidie Rais Samia kuijenga nchi hii

Mama alishasema Samia = JPM

In the case which is worse?

Hata alivyosema hivyo alifanya nini?

Nimwonavyo mama, anazungukwa na wahafidhina ambao kwa maneno anatoka kauli hizi. Kwa vitendo mama ana hofu ya mola.

Hataki dhuluma wala si mvunja katiba.

Tumsaidie kuilinda na kuitetea katiba.
CCM si chama cha WALIBERALI....
CCM ni chama cha KIHAFIDHINA...

Uhafidhina si matusi kwa msingi wa nchi hii.....

#KaziIendelee
 
Mabibi na mabwana, Mama Samia anahitaji uungwaji mkono katika kuijenga nchi hii.

Mama ni muungwana na anayo nia ya dhati ya kuiendesha nchi kwa mujibu wa katiba.

Pamoja na yote anayosema na nia yake njema ya kufanana na JPM, mama ameonyesha kwa vitendo kuwa si katika dhuluma wala katika kuvunja katiba au sheria.

Mwenye macho haambiwi tazama:

View attachment 1833936

1. Leo uamsho wako huru
2. Mdude yuko huru
3. Kesi bambikizi 147 Takukuru zimefutwa
4. Watu hawapotei tena
5. Watu wasiojulikana hawapo tena
6. Nk

Hayati Magufuli alihitaji kupewa muda kuinyorosha nchi. Mama anaomba muda kusimamisha uchumi.

Lakini kwani katiba ya nchi inasemaje? Katiba ya nchi itatamalaki. Na hili si hisani.

Panga pangua katiba ni lazima kutamamalaki. Na hili ndilo eneo tunalopaswa kumsaidia sana mama katika ujenzi wa nchi hii.

Tusichoke kumsaidia mama katika kuijenga nchi hii kwa kuzingatia matakwa kamili ya katiba iliyopo, tunapojiandaa kwa mwendelezo wa kudai katiba mpya iliyoboreshwa.

Yaliyotutokea kipindi kile hayapaswi kurejelewa.

Ninawasilisha.
Akiacha tu Kumuamini JK nitampenda!!!
 
Mkuu huo ni mwanzo wa ngoma. Ngoma ikikolea mikono yake itatapakaa damu za Watanzania. Kumbuka haya maneno yangu Mkuu.
Pamoja na yote binafsi sijaona taabu yoyote naye. Maneno matupu hayajawahi kuvunja mfupa.

Hadi pale atakapotaka kulazimisha kuvunja katiba bado nadhani tumpe muda.

Kwani July 1 iko mbali? Kukusanyika si ni haki yetu madhali tahadhari ya Corona tumechukua?

Tusiandikie mate.
 
July 1 kuna nini kwa watanzania milioni 60 ?!!!

#KaziIendelee

July 1 watakao tosha humo wanatosha sana:

IMG_20210628_140310_504.jpg

Mizigo watu hawahitajiki.
 
Mabibi na mabwana, Mama Samia anahitaji uungwaji mkono katika kuijenga nchi hii.

Mama ni muungwana na anayo nia ya dhati ya kuiendesha nchi kwa mujibu wa katiba.

Pamoja na yote anayosema na nia yake njema ya kufanana na JPM, mama ameonyesha kwa vitendo kuwa si katika dhuluma wala katika kuvunja katiba au sheria.

Mwenye macho haambiwi tazama:

View attachment 1833936

1. Leo uamsho wako huru
2. Mdude yuko huru
3. Kesi bambikizi 147 Takukuru zimefutwa
4. Watu hawapotei tena
5. Watu wasiojulikana hawapo tena
6. Nk

Hayati Magufuli alihitaji kupewa muda kuinyorosha nchi. Mama anaomba muda kusimamisha uchumi.

Lakini kwani katiba ya nchi inasemaje? Katiba ya nchi itatamalaki. Na hili si hisani.

Panga pangua katiba ni lazima kutamamalaki. Na hili ndilo eneo tunalopaswa kumsaidia sana mama katika ujenzi wa nchi hii.

Tusichoke kumsaidia mama katika kuijenga nchi hii kwa kuzingatia matakwa kamili ya katiba iliyopo, tunapojiandaa kwa mwendelezo wa kudai katiba mpya iliyoboreshwa.

Yaliyotutokea kipindi kile hayapaswi kurejelewa.

Ninawasilisha.
Hiyo ya chanjo I see inakata stim kabisa!
 
Pamoja na yote binafsi sijaona taabu yoyote naye. Maneno matupu hayajawahi kuvunja mfupa.

Hadi pale atakapotaka kulazimisha kuvunja katiba bado nadhani tumpe muda.

Kwani July 1 iko mbali? Kukusanyika si ni haki yetu madhali tahadhari ya Corona tumechukua?

Tusiandikie mate.

..anasema mikutano ya hadhara hakuna mpaka ajira zitakapopatikana!!

..sasa hapa tukijibu vibaya itaonekana hatuna adabu kwa huyu Mama.

..lakini alichosema sio sawa. Ni kinyume cha sheria na katiba. Pia hakina mantiki.
 
Akiacha Kumuamini JK 100% nitampenda.

July 1 watakao tosha humo wanatosha sana:

View attachment 1834071

Mizigo watu hawahitajiki.
Mmeamua kumchokoza mtu mpole....

Mchokozeni tu.....ila mjue HAMTOLAZIMISHA kwa nguvu hayo mtakayo.......

Mdude ametoka....yuko huru.....nina imani RUMANDE HAIHITAJI TENA....

Wale masheikh wa UAMSHO wametoka.....wako huru.....nina imani RUMANDE hawakuihitaji tena.....

TO EVERY ACTION THERE IS AN EQUAL AND OPPOSITE REACTION......

#NchiKwanza
#KaziInaendelea
 
Mkuu huo ni mwanzo wa ngoma. Ngoma ikikolea mikono yake itatapakaa damu za Watanzania. Kumbuka haya maneno yangu Mkuu.

Kutapakaa damu ni sehemu ya mchezo. Kulikuwa na uzi hapa, kupata katiba mpya inawezekana lakini si rahisi:

Upitie uzi huo mkuu. Hadi hapa tuko vizuri sana na kila kitu kipo mstarini.
 
..anasema mikutano ya hadhara hakuna mpaka ajira zitakapopatikana!!

..sasa hapa tukijibu vibaya itaonekana hatuna adabu kwa huyu Mama.

..lakini alichosema sio sawa. Ni kinyume cha sheria na katiba. Pia hakina mantiki.
Kwani ukijibu vibaya na kuikosa hiyo adabu humu ndani unadhani kuna kitakachotokea?!!!!

Ila ninaamini huwezi kujibu vibaya na kumvunjia heshima HADHARANI.....

Mdude Nyagali yuko huru URAIANI....ninaamini RUMANDE hakuihitaji tena kwa Sasa.....

#KaziIendelee
 
Vita vyetu si vya Dunia hii tuna msaada wa Mungu watesi hawana nafasi mbele ya zake
 
Kutapakaa damu ni sehemu ya mchezo. Kulikuwa na uzi hapa, kupata katiba mpya inawezekana lakini si rahisi:

Upitie uzi huo mkuu. Hadi hapa tuko vizuri sana na kila kitu kipo mstarini.
Wapi meko
 
Usimpangie Mungu Cha kufanya, hacha yeye afanye then Mungu afanye,japo kajitahidi
Mabibi na mabwana, Mama Samia anahitaji uungwaji mkono katika kuijenga nchi hii.

Mama ni muungwana na anayo nia ya dhati ya kuiendesha nchi kwa mujibu wa katiba.

Pamoja na yote anayosema na nia yake njema ya kufanana na JPM, mama ameonyesha kwa vitendo kuwa si katika dhuluma wala katika kuvunja katiba au sheria.

Mwenye macho haambiwi tazama:

View attachment 1833936

1. Leo uamsho wako huru
2. Mdude yuko huru
3. Kesi bambikizi 147 Takukuru zimefutwa
4. Watu hawapotei tena
5. Watu wasiojulikana hawapo tena
6. Nk

Hayati Magufuli alihitaji kupewa muda kuinyorosha nchi. Mama anaomba muda kusimamisha uchumi.

Lakini kwani katiba ya nchi inasemaje? Katiba ya nchi itatamalaki. Na hili si hisani.

Panga pangua katiba ni lazima kutamamalaki. Na hili ndilo eneo tunalopaswa kumsaidia sana mama katika ujenzi wa nchi hii.

Tusichoke kumsaidia mama katika kuijenga nchi hii kwa kuzingatia matakwa kamili ya katiba iliyopo, tunapojiandaa kwa mwendelezo wa kudai katiba mpya iliyoboreshwa.

Yaliyotutokea kipindi kile hayapaswi kurejelewa.

Ninawasilisha.
 
..anasema mikutano ya hadhara hakuna mpaka ajira zitakapopatikana!!

..sasa hapa tukijibu vibaya itaonekana hatuna adabu kwa huyu Mama.

..lakini alichosema sio sawa. Ni kinyume cha sheria na katiba. Pia hakina mantiki.

Mama alishasema:

Samia = JPM

Kama hivyo si tungaliishia hapa?

Nani hakujua JPM alitaka nini?

Mbona leo:

1. Sabaya yuko kisongo
2. Uamsho wako huru
3. Mdude yuko nje
4. Shughuli za kisiasa so far hazibughudhiwi?
5. Nk

Tulitaka mama asemeje?

Majibu yetu kwake yanapaswa kuwa wazi. Yaliyokinyume cha katiba hatukubali.

Haipo vita isiyokuwa na casualties.
 
Kwani ukijibu vibaya na kuikosa hiyo adabu humu ndani unadhani kuna kitakachotokea?!!!!

Ila ninaamini huwezi kujibu vibaya na kumvunjia heshima HADHARANI.....

Mdude Nyagali yuko huru URAIANI....ninaamini RUMANDE hakuihitaji tena kwa Sasa.....

#KaziIendelee

..Mama asitumie jinsia kama kichaka.

..anapaswa kuwa muangalifu na kauli zake.
 
Mmeamua kumchokoza mtu mpole....

Mchokozeni tu.....ila mjue HAMTOLAZIMISHA kwa nguvu hayo mtakayo.......

Mdude ametoka....yuko huru.....nina imani RUMANDE HAIHITAJI TENA....

Wale masheikh wa UAMSHO wametoka.....wako huru.....nina imani RUMANDE hawakuihitaji tena.....

TO EVERY ACTION THERE IS AN EQUAL AND OPPOSITE REACTION......

#NchiKwanza
#KaziInaendelea

Uchokozi ni relative. Wala tusitishane.

Sisi tutamsaidia kuiongoza nchi kwa mujibu wa katiba.

Tatizo liko wapi?
 
Hiyo ya chanjo I see inakata stim kabisa!
Kwani COVID 19 haipo ?!!
Kwani hakuna wanaopumulia mashine?!!!

Hivi umeshawahi kuwafikiria vyema MADAKTARI NA MANESI wetu wanaotoa huduma kwa hao wagonjwa wa COVID-19?!!!

Yaani hata hawa wataalam wetu wasichomwe hizo CHANJO ili waendelee kutupatia huduma?!!!

Hivi hao wataalam wetu wakitoka humo mawodini kwa wagonjwa wa UVIKO huwa hatukai nao BAA NA VIJIWE VYA KAHAWA?!!!

Hivi hao wataalam huwa hawarudi majumbani mwao kujiunga na wanafamilia wao ?!!!

FIKIRIENI NJE YA BOX....

#KaziIendelee
 
..Mama asitumie jinsia kama kichaka.

..anapaswa kuwa muangalifu na kauli zake.
Kinachoongea ni KITI CHA URAIS....si jinsia ya RAIS....

Mama ni muangalifu mno....ana staha mno......

Ila UAMIRI JESHI WAKE kwa mustakabali wa taifa uko palepale.....

Endeleeni tu kuleta ULIBERALI kwa taifa lililo chini ya WAHAFIDHINA WA CCM.....

#KaziIendelee
 
Back
Top Bottom