Tumsaidie mtu huyu, amechanganyikiwa

Tumsaidie mtu huyu, amechanganyikiwa

shauri yake yeye -----! katawaliwa na manzi
 
Bata ukimchunguza sana utashindwa kumla..
 
Salamu wana JF. Kuna mtu mmoja ameniomba ushauri lakini nimeona ni vema kushirikisha wanajukwaa ili tuweze kumpatia jibu lililo sahihi.

Suala lenyewe lipo hivi: Nina jirani yangu ambaye tunaelewana sana, hivi karibuni aliniambia hamwelewi mchumba wake wa kike anayetarajia kufunga naye ndoa hivi karibuni maana (mwanamke) hapendi jamaa ashike simu yake.

Kila siku wanamke anatumia muda mwingi sana kuongea na watu mbalimbali ambao jamaa hawatambui, simu hiyo ipo bize mchana kutwa na hata usiku.

Siku moja mwanake alipokuwa anaoga simu yake iliita zaidi ya mara 3, jamaa akaamua kuipokea, simu ile ilipigwwa na mwanamme ambaye alitaka kuongea na mwenye simu (mwanamke), jamaa akamwambia mwenye simu ametoka kidogo, yule jamaa aliyepiga simu akakata simu.

Mwanamke aliporudi ndani akaelezwa kuhusu simu iliyopigwa. Mwanamke alikasirika sana kwamba kwa nini jamaa (mchumba wake) ameipokea ile simu, ugomvi ilikuwa mkubwa.

Tukio lingine lilitokea siku moja wachumba hao walipokuwa wapo faragha meseji iliingia kwenye simu ya mwanamke, jamaa akataka kumjua aliyetuma meseji lakini mwanamke akamzuia na pia akafuta hiyo meseji, pakatokea tafrani ya nguo kuchanika kwa wapenzi hao.

Kutokana na visa hivyo jamaa anaomba ushauri je huyo mchumba wake ana mapenzi ya kweli kwake? Kwa nini hapendi simu yake ichunguzwe na huyo mchumba wake?

Jamaa anaomba ushauri afanyeje?

Ukimchunguza kuku huwezi kumla
 
Finding a cockroach in your chicken sauce is not a problem.... Finding half a cockroach in your 'half-eaten' chicken sauce is the PROBLEM
 
Amkimbie huyo bibie kabla hajamuoa.
 
Namlaumu huyo jamaa........anataka simu ya mwenzie ya nini......huyo dada yeye kataka yake........?.......wanaume wengine bana........

ukimaanisha kila mtu na simu yake c ndio
 
Namlaumu huyo jamaa........anataka simu ya mwenzie ya nini......huyo dada yeye kataka yake........?.......wanaume wengine bana........

Yaani hata ukiona mwenzio ambaye ni mke mtarajiwa kila wkt sms na simu zisizoeleweka bado usiguse simu yake? Yeye anachoficha nini?
Huyo sio mwanamke wa kuoa, jamaa anakaribisha majanga tu.
 
Kwa namna ulivyoeleza, ni dhairi jamaa hana maamuzi na ilo ni tatizo la wabantu wengi. Watu wengi wasiotoka kwny kundi la wabantu hawawezi kusumbuliwa na tatizo dogo kama ilo na hawawazi sana kutoa maamuzi linapotokea suala kama ilo. Nampa pole mtaka ushauri na mshauri mwenyewe kwa kushindwa na tatizo dogo kama ilo hadi kufikia kutuomba ushauri.
 
mh!kuna ualakin hapo cz kama hakuna tatizo kwny cm why aikatalie?
 
Salamu wana JF. Kuna mtu mmoja ameniomba ushauri lakini nimeona ni vema kushirikisha wanajukwaa ili tuweze kumpatia jibu lililo sahihi.

Suala lenyewe lipo hivi: Nina jirani yangu ambaye tunaelewana sana, hivi karibuni aliniambia hamwelewi mchumba wake wa kike anayetarajia kufunga naye ndoa hivi karibuni maana (mwanamke) hapendi jamaa ashike simu yake.

Kila siku wanamke anatumia muda mwingi sana kuongea na watu mbalimbali ambao jamaa hawatambui, simu hiyo ipo bize mchana kutwa na hata usiku.

Siku moja mwanake alipokuwa anaoga simu yake iliita zaidi ya mara 3, jamaa akaamua kuipokea, simu ile ilipigwwa na mwanamme ambaye alitaka kuongea na mwenye simu (mwanamke), jamaa akamwambia mwenye simu ametoka kidogo, yule jamaa aliyepiga simu akakata simu.

Mwanamke aliporudi ndani akaelezwa kuhusu simu iliyopigwa. Mwanamke alikasirika sana kwamba kwa nini jamaa (mchumba wake) ameipokea ile simu, ugomvi ilikuwa mkubwa.

Tukio lingine lilitokea siku moja wachumba hao walipokuwa wapo faragha meseji iliingia kwenye simu ya mwanamke, jamaa akataka kumjua aliyetuma meseji lakini mwanamke akamzuia na pia akafuta hiyo meseji, pakatokea tafrani ya nguo kuchanika kwa wapenzi hao.

Kutokana na visa hivyo jamaa anaomba ushauri je huyo mchumba wake ana mapenzi ya kweli kwake? Kwa nini hapendi simu yake ichunguzwe na huyo mchumba wake?

Jamaa anaomba ushauri afanyeje?

Uchumba huwa hauko hivi, huu tunaweza kusema ni ubwege. Watu nadhani wasihangaike kutoa hauri hapa kwa sababu kilichopo hapa siy chumba!
 
Uchumba upoje? Tuelimishe.
 
Salamu wana JF. Kuna mtu mmoja ameniomba ushauri lakini nimeona ni vema kushirikisha wanajukwaa ili tuweze kumpatia jibu lililo sahihi.

Suala lenyewe lipo hivi: Nina jirani yangu ambaye tunaelewana sana, hivi karibuni aliniambia hamwelewi mchumba wake wa kike anayetarajia kufunga naye ndoa hivi karibuni maana (mwanamke) hapendi jamaa ashike simu yake.

Kila siku wanamke anatumia muda mwingi sana kuongea na watu mbalimbali ambao jamaa hawatambui, simu hiyo ipo bize mchana kutwa na hata usiku.

Siku moja mwanake alipokuwa anaoga simu yake iliita zaidi ya mara 3, jamaa akaamua kuipokea, simu ile ilipigwwa na mwanamme ambaye alitaka kuongea na mwenye simu (mwanamke), jamaa akamwambia mwenye simu ametoka kidogo, yule jamaa aliyepiga simu akakata simu.

Mwanamke aliporudi ndani akaelezwa kuhusu simu iliyopigwa. Mwanamke alikasirika sana kwamba kwa nini jamaa (mchumba wake) ameipokea ile simu, ugomvi ilikuwa mkubwa.

Tukio lingine lilitokea siku moja wachumba hao walipokuwa wapo faragha meseji iliingia kwenye simu ya mwanamke, jamaa akataka kumjua aliyetuma meseji lakini mwanamke akamzuia na pia akafuta hiyo meseji, pakatokea tafrani ya nguo kuchanika kwa wapenzi hao.

Kutokana na visa hivyo jamaa anaomba ushauri je huyo mchumba wake ana mapenzi ya kweli kwake? Kwa nini hapendi simu yake ichunguzwe na huyo mchumba wake?

Jamaa anaomba ushauri afanyeje?

Hilo swali litamjia mbele ya safari. Huyo hayuko tayari kuolewa atamsumbua sana huyu ndugu bora kuishia hapo.
 
Back
Top Bottom