Tumsaidie huyu kimawazo

Ujumbe mzito huu kwa wale wanaolea mali za wengine
 
Baba mlezi anataka mahari apokee yeye na sio baba mzazi kama binti anavyotaka
Na mimi kwa utu uzima wangu huu anayestahili kupokea mahari ni huyo mlezi! Huyo binti kama anaona hasitahili kupokea mahari ili hali ndiye aliyemfikisha hapo kimakuzi na kielimu wakati baba mzazi kamtelekeza, ujue huyo binti mpumbavu na ningekuwa mchumba wake nampiga chini! Huyo sio mke wa kuoa na tayari mustakabali wa familia anayoenda kuijenga ni laana tupu!
 
Huyo Binti ni mpumbavu, arudishe gharama alizosomeshewa then aendelee na babaake mzazi
 
Kupiga rangi nyumba yangu hakuifanyi kuwa yako!
Wewe kama ni mpangaji utaondoka na vitu vyako huku nikikushukuru kwa kupaka rangi nyumba yangu.
Ni mifano miwili ambayo haiendani kabisa na Kuna waliokupa likes, kukuta mwanamke ametelekezwa na mtoto ukaamua kumlea ni jambo la kujitolea sana. Hakuna kazi kama kulea kiumbe hadi kimalize primary, secondary hadi chuo. Gharama yake hailipiki kwasababu inahusisha hadi hisia za Kila siku kwa miaka zaidi ya ishirini(Siku 7300). Kwahiyo mnaongea hapa ki simple tu. Huyo binti kakosa shukrani na Kuna uwezekano huko mbeleni akaachwa single mother akajifunza kwa mfano halisi. Hii dunia Ina kanuni zake, amini usiamini.
 
But that dont make u biological father.
Kisheria kuna ownership na kuna possession. You may have a possession or custody of a property which is not yours for a long time but that doesn't guarantee you with ownership.
 
Huyo binti analeta complications tu. Unless otherwise pawe na story behind juu ya huyo baba mzazi ambayo haijawekwa wazi.

Maana haiwezekani mtu ambae amepotea tangia ukiwa na miaka mitatu, then uje kumuhusisha kwenye mahari.
 
But that dont make u biological father.
He's not trying to become her biological father, by the way how much are they paying as a bride price!?,si ni milioni 2,3 hadi 5?,zaweza kukukosesha shukrani kwa aliyekulea zaidi ya miaka 20!?,katumia kiasi gani kukusomesha!?.,mnatetea ujinga tu,na mnaotetea sidhani kama kuna hata mmoja anayelea hata mtoto wake wa kumzaa, mnachangia mada tu humu.
 

Mabinti wako hivyo. Ni wa hovyo. Huwa hawaelewagi hata mambo yaliyo ya moja kwa moja kama hili.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…