Tumsaidiaje huyu kaka yetu

Tumsaidiaje huyu kaka yetu

Sasa mkuu kama bibiye alizaa akiwa kambi ya wakimbizi je huyo mtoto alikuwa wa nani?

Au ndo hivo bro kasaidiwa mwazo mwisho
 
p didy hongera kwa kuandika it seems leo akili imekukaa sawa

kaka yako ---- anakaa gheto afu anataka mmke aende aache huu upuuzi

wanawake wenyew nao wanaangalia palipo na maslahi

mwambie abebe box nyt n day hadi apate pesa ajenge awe na maisha mazuri ili huyo demu roho imuume
 
sasa msaada gani wakati mwanamke kapata wake mahabuba ... mwanaume anamkuna anakunika .. nashikwa kashikika kingine kipi Pdidy mtafutieni mwingine broo mtumieni percel ya demu h ha h :shock:
 
Last edited by a moderator:
Hali mbaya ughaibuni, watu wana jichua sana maana kupata mtoto wa kike gharama. Wanao jiuza gharama na wale wa kudate pia gharama.

Sasa jamaa kaona wa bure kaja toka bongo na kaka yako kazubaa pamoja na hilo baridi,kaamua kujichukulia
 
Misschaga. PERCEL. Norma. Atafute. Malapulapuyahuko aunge mbelekwambele
 
Mbaya. Kutongoza. Ni shidaaaa
 
Sasa mkuu kama bibiye alizaa akiwa kambi ya wakimbizi je huyo mtoto alikuwa wa nani?

Au ndo hivo bro kasaidiwa mwazo mwisho
Mpwa. Alikuwa an agenda geto anapata dozi sasàs sijui kama alikuwa anapata extra dose hiyo shidaa tuachanenahilo utamuua kabisaa
 
hivi Pdidy ni mtoto au mtu mzima ?
 
Last edited by a moderator:
Jf nakupenda sana.....ukikosea ukoo bar,,ukiandika vizuri. Uko bar ...nishidaaaaa. Mmfb. Ulikuwa wapijwmwni. Miss. U. Much

Nipo Pdidy miss u more jwmni
 
Last edited by a moderator:
mwambie kaka yako amwambie huyo rafikiye.......arudishe gharama alizotumia kumleta huyo mwanamke uko......basi mengine afanye kazi kwa bidii......arudi tanzania afunge ndoa basi........
 
Inawezekana mimi nlifundishwa kusoma tofauti,jinsi jamaa alivyoandika sijamuelewa...naomba aliyeelewa anihabarishe kwa ufupi...
 
Kuna kaka yetu alikwenda Sweden Mwaka wa tisa mpaka sasa hajarudi ila through tango tukimwona tunaamini yu mzima.
Miaka mitatu iliyopita alipelekewa mwanamke, walidai alikuwa rafiki wake wa kike.Baada ya mwaka bibie kazaa alikoshukia kambi ya ukimbizi.

Akawa akipata muda wanaenda kusabahiana, kaka yeye yuko geto na wenzie watatu.Binti alipoanza kwenda getto kumsalimia kaka akimkosa wakati wa kumsubiri kaka arudi kibaruani kumbe kuna jamaa mmoja mate wa kaka walianzisha mahusiano ya mapenzi wakafanya siri.

Ninavyoongea binti kaanza kugoma kwenda kwa kaka,baada ya muda kupita akamtumia ujumbe mfupi wa maneno kwamba "Niache nimempata wangu mahabuba" Wazenji mnaelewa zaidi.

Huyo rafiki yake kaka aliyemsariti jana kaaga geto kahamia lake.Ingawa sina uhakika kaka anadai binti ana mimba ya jamaa wake huyo mpya.Wabeba mabox mna mambo kweli embu msaidieni serious kama ndugu.


Kaka ndiye aliemtumia nauli na kila kitu akiwa Dar es salaam. Muwe makini mnaong'ang'ania kupeleka mizigo yenu huko.Imeniumiza sana sana maana imenikumbusha kifo cha rafiki yangu mpendwa Walter Mazula. Mungu amuhifadhi pema.

kumbe unajua kuadika vizuri MORON
 
Back
Top Bottom