Tumpe ushauri-long distance relationship

sasa mkuu ukituuliza kama huyu mchumba wake anaweza kuvumilia muda wote bila kumwegwa unataka sisi tukujibu nini hasa?
 
Long distance trade.

aaaggh ni long relationshp mweee huyo mwambie aniPM nimshauri vzur coz nadhan nimebobea ktk hilo
 
Jamaa yako hana simu yenye uwezo wa kutumia intaneti? Utamsomea kila kinachoandikwa hapa au atapataje ushauri wetu?
 
Lkn songea na shinyanga si mbali kwanini akae mwaka mzima bila kwenda!!
 
mwambie jamaa apunguze was was.ila nae ajiongeze hata kama mambo magumu amfuate huwez kupoteza mwaka mzma hujamt na mpnz wako.naongea coz nina xperience..ila mahusiano ya ina hyo yapo na ndoa watafunga.akil pa mkchwa
 
Long distance trade.

aaaggh ni long relationshp mweee huyo mwambie aniPM nimshauri vzur coz nadhan nimebobea ktk hilo

Hebu tupe uzoefu mi sijakomaa bado mwenzio! !!!!!
 
Kuna mambo ukiwa kwenye uhusiano serious hutakiwi kuwanza...moja wapo ni kuhusu mwenza wako kamegwa au laa..huyo jamaa wako ajenge hulka ya kujiamini na kujiona hakuna mtu anaefanana naye kwa kila kitu hapa duniani..
 
Mi bado nna certificate na sitaki ifike diploma maana sitakiweza hicho cheo.bora nijitahidi nianzr kazi na certificate

Hahahahahhahhhaha,ndio maana wengine huwakuta wapenzi wao washaolewaa maana ni kazi sana kusubiri mtu,halaf huko ndio ukute kaoaa hana hata haraka na wewe
 
Hahahahahhahhhaha,ndio maana wengine huwakuta wapenzi wao washaolewaa maana ni kazi sana kusubiri mtu,halaf huko ndio ukute kaoaa hana hata haraka na wewe

Umeona ee yaana hapa kila kukicha nasali nilini tutakutana i cant wait.
 
Kama huyo mkaka yupo serious na huyo mdada. Aanze mchakato mapema ili wafunge ndoa. Chelewa chelewa utakuja kuta mwana si wako. Kwani ni yeye tu ndo anamwona?! Si wapo wengi tu?
Kwanza Njombe kuna baridi sana so lolote litakalotokea huyo jamaa asije kumlaumu binti wa watu bure.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…