Miss Natafuta
JF-Expert Member
- Sep 16, 2015
- 28,122
- 52,864
Sitaki dume yoyote hapa homeDah...ongea na jirani banaa...Kama vipi akuuzie...umuozeshe...naye aende vet...[emoji41][emoji2960]
Ukimuwekea huyo sumu, atakuja mwingine na mwingine je utawaua wote? Mfungie ndani asitoke nje.Nyumbani tuna paka jike.
Kwa vile tuna watoto wadogo na wanapenda kumchezea tukaona isiwe mbaya tumgharamie kumpeleka vet clinic kwa check up,kumkata kucha ,madawa etc
Tatizo ni kwamba anashiriki kimwili na paka wa jirani ambae yeye Hana matuzo kwaiyo anamuweka paka wetu kwenye risk hence watoto!
Je tumpe sumu afe?
Jamaa una roho mbaya sana ww, embu pata picha ndo ww wangekunyima kukutana na mwanamke wako au kutaka kukuwekea sumu ungejiskiaje.Nyumbani tuna paka jike.
Kwa vile tuna watoto wadogo na wanapenda kumchezea tukaona isiwe mbaya tumgharamie kumpeleka vet clinic kwa check up,kumkata kucha ,madawa etc
Tatizo ni kwamba anashiriki kimwili na paka wa jirani ambae yeye Hana matuzo kwaiyo anamuweka paka wetu kwenye risk hence watoto!
Je tumpe sumu afe?
Una wivu sana, yaani hutaki paka atikise vuzi?!!!Sitaki dume yoyote hapa home
Dah...huo wivu Sasa[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Sitaki dume yoyote hapa home
Sasa tumfanyeje?Yaani Unawaza Kumuua tu ' amekukosea nini sasa. ...dah hiyo roho ngumu sana aise
Anatoombwa sanaNa paka jike akianza kuzaa he he he sipati picha wakikua hao anazaa tena anazaa tena yaan wahuni kweli..ukimjua mume wake shukuru
Utampanda wewe au???[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Yani wivu mpaka kwa pakaaaSitaki dume yoyote hapa home
[emoji23][emoji23][emoji23] unakaribisha povu[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]na hili ni fundisho hata kwa sisi binadamu mwanamke mwenye matunzo hatakiwi kuwa kwenye mahusiano na mwanaume wa hovyo hovyo[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]