Alex Fredrick
JF-Expert Member
- Jun 21, 2016
- 680
- 1,338
๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐ซ๐ซ๐ซ๐ซ๐ซPongezi za dhati zimuendee Makonda kwakufanikisha TZ kufuzu AFCON19
Hata wewe kwa mshiko ule ungeweza.Pongezi za dhati zimuendee Makonda kwakufanikisha TZ kufuzu AFCON19
Paskali yeye alienda mbali zaidi akatuambia:Baada ya Magufuli tumpe Makonda urais. Nikacheka. Sidhani kama nilikosea kucheka kwa dharau?Hata wewe kwa mshiko ule ungeweza.
Pongezi za dhati zimuendee Makonda kwakufanikisha TZ kufuzu AFCON19
Pasikali kumuelewa inabidi ufikirie in 3D.Paskali yeye alienda mbali zaidi akatuambia:Baada ya Magufuli tumpe Makonda urais. Nikacheka. Sidhani kama nilikosea kucheka kwa dharau?
Paskali yeye alienda mbali zaidi akatuambia:Baada ya Magufuli tumpe Makonda urais. Nikacheka. Sidhani kama nilikosea kucheka kwa dharau?
huwa nakuona una ufahamu mzuri kweli kumbe najidanganya
Ina maana alimpaka jamaa wanja kwa kipande cha mkaa? ๐๐๐๐Pasikali kumuelewa inabidi ufikirie in 3D.
Mbona unatetema mkuu, usichukulie kila kitu literally
Ina maana alimpaka jamaa wanja kwa kipande cha mkaa? ๐๐๐๐
Akipewa jimbo anaweza kuwa waziri mkuuHawezi kukubali kupewa jimbo lolote, na ukuu wa mkoa wake tu tayari ana nguvu kuliko hata mbunge au waziri yoyote
the Legendโ
Ndipo unapaswa utafakari aliyeleta uzi alimaanisha nini? Tafakari. Halafu kuhusu neno "maendeleo"!Umelichukuliaje? Yako wapi? Kivipi? Kwa nani? ๐๐๐Hv kama mtu anaweza kuleta maendeleo kwa u-rc kwakuwa ana nafasi zaidi ya kiutawala na maamuzi kwanini tena adogoshwe kwenye level ya ubunge ambapo hana mamlaka kama RC na hata jiografia yake ni ndogo zaidi??
Naamini akipata huo U-PM ahadi ya kwanza itakuwa kurudisha majimbo yote wakinzani waliyoshinda. Utadhani wakinzani waliyateka na kwenda nayo ughaibuni au wao si Watanzania๐๐๐๐Akipewa jimbo anaweza kuwa waziri mkuu