Kiranga
Platinum Member
- Jan 29, 2009
- 88,627
- 155,511
na huo ndio upendo wenyewe.....
mabaya yasingekuwepo tusingeujua upendo wa Mungu..
(ili kujua kitu original ni lazima kuwepo na kitu feki)...
Kwa hiyo mabaya yasingekuwepo, mungu angeshindwa kutuonyesha upendo wake?
Nikifikiri mnasema huyu mungu hakuna kinachomshinda? Inakuwaje sasa?
Kwa msingi huu, unaweza kuwa hakimu ukaletewa baba kamchinja mtoto wake, unamuuliza kwa nini umemchinja mtoto wako? Anajitetea kwa kusema nisingemchinja huyu, wale wengine wasingejua kwamba nawapenda.
Unaona huu utetezi uko sawa?