Tumieni tango na limao kujifukiza hasa unaposikia homa

Habari zenu wakuu...

Unaposikia dalili zifuatazo usisite kutumia mchanganyiko huu....
1.kukohoa sana
2.mafua (pua kuwasha kama pilipili na kuhisi pua kua wazi muda wote
3.tonses
4.kukohoa damu.
5.homa kali(waeza enda pima ukaambiwa una malaria
6.kichwa kuuma
7.macho kua mekundu sana na kuwasha


NB
Unapoona dalili hizi ndugu zangu msisite kutumia mchanganyiko wa tango na limao

Maandalizi
Tango 2
Limao 2
Maji
...chukua tango na limao vioshe kisha uvikate vipande vidogo ...weka kwenye sufulia kisha weka maji lita 2....chemsha kwa dakika 5 kwenye gesi au mkaa hadi itokote....ikishakua tayari chukua shuka kisha ujifukizie
.unapojifukiza hakikisha jasho linakutoka mwili mzima .....kisha chukua juice iyo ikiwa ya moto weka kwenye kikombe unywe.....fanya hivyo kwa siku tatu (3) yaan asubuhi na jioni

Hii ni tiba na tenana ni kinga ya ugonjwa huu ()mchanganyiko huu unatibu magonjwa zaidi ya 150 lakin kubwa kuliko yote ni hii hali ya hewa inayotusumbua sasa

Hata kama hujaona dalili pia unaweza kutumia mchanganyiko huu sababu pia ni kinga....ukihitaji maelekezo zaidi waeza uliza na nikakujibu

Fukizeni watoto maana hii hali ya sasa watoto nayo inawapitia.....waelekezeni wazee wenu maana wao ndio hawako salama na homa hii ....lakini mchanganyiko huu unapona kabisa ...

Mwezi ulioisha nlijisikia homa ya ajabu yaana usiku natetemeka baridi huku natoa jasho ..mafua,kifua tonses na macho kua mekundu vilinisumbua sana nlipoenda hospital nikaonekana sina ugonjwa wowote...ndipo nlipikutana na mtu akanielekeza mchanganyiko huu na baada yakutumia tu nilipona

MODS NAOMBA MSIFUTE HUU UZI ILI WATU WAPONE...kabla hamjafuta huu uzi mjaribu kwanza huo mchanganyiko usipofanya kazi ndio mfute

Kwani Jaffo na Dkt. Gwajima wale mabingwa wa nyungu wanasema je?
 
Mkuu hizi tiba si kila mmoja inamkubali kila mtu anamchanganyo wake.Siku nilipotaka kuzimia kwa Sababu ya pumzi kwisha nilijikamulia limao 5 kavukavu kifua kikafunguka na kuanza kupumua vizuri.

Nilitengeneza chai ya Tangawizi,vitunguu swaumu na limao nne tu.Napiga asubuhi mchana na Jioni kwisha.Nilipopata nafuu kidogo nikachoma regency dk akaniambia nimonia nikapewa vidonge flani nikaflash kabisa.Ingawa alishauri nikae mbali na familia,ambayo kipindi hicho ilikuwa hija migombani.
vidonge gani ivo vya pneumonia mkuu?
 
maana mimi nimeanza na single dose ya azithromycin 500mg
Yes ni hiyo hiyo.Lakini Mimi nilituma badala kuanza na hizi za asili limao na tangawizi natengeneza kama chai.Kifua kukibana Sana nakamua limao nakunywa kavu kama huduma ya kwanza ilikuwa msaada Sana.
 
Back
Top Bottom