Tumia youtube bure kabsa (airtel & tigo only)

Tumia youtube bure kabsa (airtel & tigo only)

Hiyo code Mbona haibadilishwi
Ukitaka kubadilisha inagoma maana yake nini sasa Kama Sio utoto ni nini?


Humu ni sehemu ya wakubwa Leta kitu ambacho umekifanyia research Sio kukurupuka Tu.
Ulitakiwa kuuliza jinsi ya kuibadilisha hiyo code na sio kutoa lugha zisizo na staha kwa watu wazima.
 
Ulitakiwa kuuliza jinsi ya kuibadilisha hiyo code na sio kutoa lugha zisizo na staha kwa watu wazima.
Endelea kuelekeza mkuu. Alafu napata shida kutambua Trick 2019 maana zipo nyingi. Screenshot yake please
 
Ndo hivyo maelezo ni marefu kidogo ila ukiweza kuyafuata utainjoy youtube bureeee kabsa
Acha uongo ww namba yenyewe code inaanza na 233 kwann ukusearch zingine hakuna?
 
cha bure kinakuaaa jaman...
alafu msipende mtelezo nunue vifurushi bana serikali ipate kodi yake kwa maendeleo yetu
 
Downloading Trick 2019

1) Download mod zronet form google

2) Open and verify with Airtel-tigo number

3) U will be given free browsing to ecobank,umb,fido, youtube and manymore.

4) Select youtube, select claim...

5) Now go to settings on zronet mod u downloaded, switch to free data. Make sure u have youtube on your phone.

6) Now go to setting on ur phone...Network settings
Go to vpn, you see all vpn you have on ur phone. Tap on zronet setting....( the [emoji1010] )
Switch to always stay connected

7) Come back to zronet and tap youtube.
nice job
 
Back
Top Bottom