Mimi siogopi hiyo kesho japo naunga mkono matumizi mazuri ya muda na resources.
Kwann tunapenda kuishi kimashaka-mashaka;
kuhofia yajayo ni dalili za maisha ya bahatisha ndulute..kama ni kufa hayupo atakayeishi milele.
Kama ni kuugua.kata bima kubwa..
kama ni ulemavu utokanao na ajari basi ujue kwa asilimia nyingi ni uzembe wa wasimamizi wa sheria za mabarabarani au reckless ya yeye victim.
Hatupaswi kuogopa kesho.bali kuifurahia hiyo kesho.fanya nafasi yako, mamlaka nazo zifanye nafasi yake.
Your future is not a miracle or mystery..it's the harvest of choice you make today.