Tumia tovuti ya Gulio Store kuuza na kununua bidhaa kwa mikoa ya nyanda za juu kusini pekee

Gulio Tanzania

JF-Expert Member
Jan 30, 2018
2,137
4,484
Kwa wakazi wa mikoa ya nyanda za juu kusini tumewaletea tovuti ambayo itawasaidia kuuza na kununua bidhaa yoyote bure mtandaoni.Kutangaza biashara,huduma,kazi,mazao ya chakula nk
Na hii huduma tunaitoa kwa mikoa ya nyanda za juu kusini pekee yani mbeya,iringa,njombe
sababu gani tunafanya hivi?
Tumefatilia mitandao mingine ya kuuza na kununua hapa Tanzania tumegundua kuna mapungufu makubwa
Cha kwanza ni utapeli kumekuwa na matapeli wengi sana ambao wanatangaza bidhaa kwa bei ya chini huku nia yao ikiw ni kutapeli mtu anakwambia nipo dar natuma mzigo hapa watu wengi wamelizwa
Kampuni yetu tumeliona hilo ni janga na ndo mana tunawakutanisha wanunuzi na wauzaji mtandaoni wa mikoa ya jirani hii itamsaidia mtu kununua bidhaa akishakuwa amekutana na muuzaji na kujua hiyo bidhaa ipo katika hali gani

Tatizo lingine kwenye hizo tovuti za kuuza na kununua wameshindwa kuwafikia watu wengi ni kama wamekosa bajeti ya kuhudumia jamii yote ndo mana ukiweka bidhaa wateja hamna hivyo watu wengi wamekata tamaa kutangaza kwenye hizo website wamebakia matapeli na madalali uchwara wanazungukana wao kwa wao Ila sisi kampuni yetu ya Gulio Store tumelenga kuhudumia jamii yote ya mikoa michache na bidhaa zote zinawafikia wateja .bidhaa zote tunafanya boost tuna target eneo husika na bidhaa yako itawafikia walengwa
Biashara itafanyika kwa uaminifu mkubwa hakutokuwa na sijui zile mizigo tunatuma kwa basi unaanzaje kumwamini mtu usiyemjua.

Anza leo kuitumia tovuti ya Gulio Store kuuza na kununua bidhaa yoyote bure tembelea guliostore.com
Ama pakua App yetu ya Gulio Store ipo kule playstore
Jisajili na uanze kutangaza
 
Bee ndauli !!!
Usitumie nguvu nyingi kutoa mapungufu ya kampuni nyingine badala yake tumia nguvu nyingi kujua udhaifu wao na uutumie kama advantage kwa kampuni yako.
Ukila na kipofu usimshike mkono sasa hujaanza ata kula naye tayari unamshika mkono atapiga kelele ohoo.
Upulike bee
 
Kama mimi nimejua udhaifu wake sasa naifanyia kazi
 
Tumefatilia mitandao mingine ya kuuza na kununua hapa Tanzania tumegundua kuna mapungufu makubwa
Cha kwanza ni utapeli kumekuwa na matapeli wengi sana ambao wanatangaza bidhaa kwa bei ya chini huku nia yao ikiw ni kutapeli mtu anakwambia nipo dar natuma mzigo hapa watu wengi wamelizwa
Kampuni yetu tumeliona hilo ni janga na ndo mana tunawakutanisha wanunuzi na wauzaji mtandaoni wa mikoa ya jirani hii itamsaidia mtu kununua bidhaa akishakuwa amekutana na muuzaji na kujua hiyo bidhaa ipo katika hali gani

Utapeli nyie mtahakikisha vipi hakuna tapeli ? Unless otherwise mizigo inapitia kwenu na nyie ndio mnauza sioni ni vipi mtafuta utapeli (ukizingatia hata verified user wa leo anaweza akawa tapeli wa kesho kwa kubanwa na maisha)

Pili online its all about efficiency kama mtangoja mpaka mtu akutane na wauzaji na kuchunguza mzigo na kufanya due dilligence mwenyewe mna tofauti gani na hao wengine ?

Biashara itafanyika kwa uaminifu mkubwa hakutokuwa na sijui zile mizigo tunatuma kwa basi unaanzaje kumwamini mtu usiyemjua.

Anza leo kuitumia tovuti ya Gulio Store kuuza na kununua bidhaa yoyote bure tembelea guliostore.com
Ama pakua App yetu ya Gulio Store ipo kule playstore
Jisajili na uanze kutangaza
Sasa kutuma kwenye basi au lorry si ndio transport na logistics ya nchi yetu ? Na kutokuamini tusiomjua hata wewe hatukujui tunakuamini vipi ?, na nikijisajili leo na kuanza kutangaza mnaniamini vipi ? Pia naweza nikiwa na mzigo ila below standard hata kama ni verified na mteja anaweza akawa mkorofi mzigo akipata anajifanya haufai, au mimi kufunga safari kwenda kuangalia mzigo nikakuta haufai what about usumbufu na gharama ?

Kwa Ufupi
Umefanya SWOT analysis ya kupinga weaknesses za wengine lakini sijaona kama umeleta strengths zako na ninaweza nikasema strengths zako ni weaknesses.... in so far as haumalizi utapeli bali unaongeza hurdles...
 
Bee ndauli !!!
Usitumie nguvu nyingi kutoa mapungufu ya kampuni nyingine badala yake tumia nguvu nyingi kujua udhaifu wao na uutumie kama advantage kwa kampuni yako.
Ukila na kipofu usimshike mkono sasa hujaanza ata kula naye tayari unamshika mkono atapiga kelele ohoo.
Upulike bee
Sija mention kampuni yoyote ni jambo la kawaida tu hakuna ubaya ili watu waelewe utofauti huduma waliyokuwa wanapata na mimi nayotoa tovuti za kuuza na kununua zipo nyingi huduma nayotoa mimi nitofauti napromote kwa mikoa mitatu tu lengo ni kuwafikia watu wengi kupitia social media na kujenga uaminifu
 
Kumbuka nimesema huduma hii tunaitoa kwa mikoa mitatu pekee hivyo uaminifu kwa kiasi kikubwa utakuwepo ukizingatia hii mikoa ipo jirani gharama za nauli ni ndogo hivyo ni rahisi mnunuzi kutoka mkoa mmoja kwenda mwingine kununua bidhaa kama laptop,tv na bidhaa nyingine nyingi
Watu wengi wanavitu ndani lakini walikuwa hawaoni mahali pa kuuzia sasa hii kazi ndo tumeanza kuifanya
Utapeli nyie mtahakikisha vipi hakuna tapeli ? Unless otherwise mizigo inapitia kwenu na nyie ndio mnauza sioni ni vipi mtafuta utapeli (ukizingatia hata verified user wa leo anaweza akawa tapeli wa kesho kwa kubanwa na maisha)

Pili online its all about efficiency kama mtangoja mpaka mtu akutane na wauzaji na kuchunguza mzigo na kufanya due dilligence mwenyewe mna tofauti gani na hao wengine ?

Sasa kutuma kwenye basi au lorry si ndio transport na logistics ya nchi yetu ? Na kutokuamini tusiomjua hata wewe hatukujui tunakuamini vipi ?, na nikijisajili leo na kuanza kutangaza mnaniamini vipi ? Pia naweza nikiwa na mzigo ila below standard hata kama ni verified na mteja anaweza akawa mkorofi mzigo akipata anajifanya haufai, au mimi kufunga safari kwenda kuangalia mzigo nikakuta haufai what about usumbufu na gharama ?

Kwa Ufupi
Umefanya SWOT analysis ya kupinga weaknesses za wengine lakini sijaona kama umeleta strengths zako na ninaweza nikasema strengths zako ni weaknesses.... in so far as haumalizi utapeli bali unaongeza hurdles...
 
Kumbuka nimesema huduma hii tunaitoa kwa mikoa mitatu pekee hivyo uaminifu kwa kiasi kikubwa utakuwepo ukizingatia hii mikoa ipo jirani gharama za nauli ni ndogo hivyo ni rahisi mnunuzi kutoka mkoa mmoja kwenda mwingine kununua bidhaa kama laptop,tv na bidhaa nyingine nyingi
Watu wengi wanavitu ndani lakini walikuwa hawaoni mahali pa kuuzia sasa hii kazi ndo tumeanza kuifanya
samahani kama nitaonekana mnoko...
Hapo kaka haujaweka gharama ya muda na usafiri wa mtu kusafiri na kukuta bidhaa kumbe ni uchafu.., au kusafiri na kununua kumbe muuzaji amemuwekea mazingira ya vibaka akitoka akiwa kwenye basi au bodaboda kusepa na laptop..

Pili na huu umasikini vitu kama laptop simu nilitegemea vitakuwa viingi na bei poa jijini na sio mikoani thus wewe kuwatenga wa jiji umetenga supply kubwa isiungane na demand..

Ushauri
Mikoani kuna mazao na products kama hizo kwa wingi.... kuliko kuunganisha watu wa huko wenye uhitaji sawa na bidhaa nyingi ambazo ni sawa kwanini usiwasaidie wakulima wa huko.., tengeneza database ya bidhaa za kutosha za kilimo nenda uzinangalia na kuzipa stamp of approval.., hata mtu akitoka mijini au kama yupo mjini anataka lorry la mahindi ufanye udalali wa ku-guarantee kwamba atapata mzigo na mwenye mzigo kupata pesa.., yaani sio platform ya kuwaunganisha wauzaji na wanunuzi bali platform ya ku-assist manunuzi na mauzo yaani unakuwa gateway ya bidhaa za kilimo toka kusini mwa Tanzania, kwenda Tanzania nzima, Africa au dunia kwa ujumla
 
Back
Top Bottom