FestoKaguo
Senior Member
- Apr 1, 2022
- 128
- 202
Juzi nilienda kumtembelea mjomba wangu, yeye ananiita "His favorite Nephew", kwasababu ananikubali sana kuliko hata wanae.
But hiyo sio point yangu.
Mjomba wangu ana hasira za karibu (Short tempered) na yeye mwenyewe amekiri ni moja ya kitu huwa kinamponza toka zamani.
Kwa ninavyofahamu, watu wengi wenye short temper hawakuwa hivi na wengi hawapendi kuwa hivyo.
Na ukipata muda kufuatilia chain kujua source ilianzia wapi usually either ni kwenye family tree (ya kurithi) au kuna matukio yalimtokea huko nyuma mpaka moyo ukaanza kuwa mzito.
Kwa upande wa mjomba, yeye mwenyewe anajua source yake.
But then again, hiyo sio point yangu,
Point yangu ni kwamba, kama unajua una hasira za karibu, ni muhimu uweke measures kuhakikisha haitakuponza especially kwenye vitu ambacho vitakupa growt and usually growth needs you to be calm especially under pressure.
Ofcourse dealing na watu lazima utakereka, sometimes mtu anakuchokonoa makusudi alafu uki react atajifanya victim, lakini the moment ukaruhusu hasira ziku control ndo the moment you have lost.
Usiku kabla hatujalala, huwa tuna funga milango na ma geti kwa kufuli, sio kwamba tunategemea kuibiwa, ila tuna protect ourselves and our properties from any external threats.
Tumia this same principle to protect your temper.