Tumia Sekunde Chache Kuangalia Hii!

PakaJimmy

JF-Expert Member
Apr 29, 2009
16,203
8,724
Madhara ya vita nchini DRC. Watoto hawa wamekuwa displaced kutokana na fujo za vita huko Goma Mashariki mwa Congo, ambapo chanzo kikuu ni madini yaliyopo eneo hilo.

Kilichonivuta na kunisikitisha ni jinsi ambavyo dada mtu hakukubali kumwacha mdogo wake nyuma...Jiulize; Je watoto hawa wamekula chochote?...Je wana uhakika wa kukutana na wazazi wao tena?


Congo-children-search-for-parents-near-Goma-eastern-Congo-by-Jerome-Delay-AP.jpg
 
Sisterlove is stronger than brotherlove ndio maana mama akaplay part kubwa kwenye kulea kuzidi baba
 
Hii Ni picha moja wapo nilipiga Bunia wakati bado hali ni tete na hii ndio hali ya wanawake wa congo wanavyoonekana wakitumika.
Haya.JPG
 
Mkuu, haiwezekani bana...hii itakuwa ni photoshop!...unadhani kweli hii?

Mkuu mie mwenyewe ndio nimepiga hiyo picha...wala sio photoshop hapo ni bunia wanaume wa congo hawafanyi kazi za nguvu kama hizi...wao fanya ni wanawake..nii ilikuwa 2008..zipo na zingine...kama hizo mpaka sasa ukipita barabarani unaweza pata shot kadhaa....
 
Back
Top Bottom