Tumia njia hizi kupata network unlock code by imei number

Weka cpu z kisha angalia ni MtK ipi,kama ni 8321 tafuta mtu mwenye sigma atakutolea lock ,kama ni 6580 jarbu kwa nck
Hivi mkuu kwa mfano hiz simu za iphone used zinazouzwa nying zimetoka marekani ambazo wanasema iko locked huwez tumia line labda wifi only..je inawezkana ku-unlock?
Chief Mkwawa na Kcamp
 
anaeweza ku unlock nerwork OPPO A 53 Inashika E pekee na kwenye setting wanasema n 2G,3G&4G ani pm bas tufanye mchakato npo iringa
 
Hakuna njia moja..kuna njia za tools na zingine za kununua code

Kwa visimu hivi vya tigo sijui unaweza tumia NCK dongle crack ukatoa lock nyingi tu

Kwa sim za samsung unatumia z3x box hata crack inatoa simu nyingi tu zilizokua supported
Pia unaweza nunua code mtandaoni,mim nanunuaga code za mifi hizi huko eBay , unapata hadi kwa dola 1 depends na model ya mifi yako

Pia kuna baadh ya simu au modem una download tu unlocked files alafu unaflash kwa miracle...mfano vile visimu vya button vya voda unapiga file ina MB 4 tu unatoa lock

So njia zipo mbali mbali..we kikubwa ukikutana na lock ya sim njoo hapa jukwaani tutakusaidia kutoa hiyo lock.
Mkuu hivi zile ZTE wifi router za Halotel nazo zinawezekana ku unlock ziwe universal?
 
Okay. Model ni VFD 1100
VFD 1100 ni MTK 6580
Mimi Huwa Naitoa Kirahisi Sana Kwa Kuflash ROM
Ndio Ninayotumia Sasa Kwa Lain Ya Halotel


Download Hii ROM Then Flash Kwa SP


Nilijaribu Kwa NCK Na Miracle Crack Ziligoma Kutoa Hio Network Lock
 
VFD 1100 ni MTK 6580
Mimi Huwa Naitoa Kirahisi Sana Kwa Kuflash ROM
Ndio Ninayotumia Sasa Kwa Lain Ya Halotel


Download Hii ROM Then Flash Kwa SP


Nilijaribu Kwa NCK Na Miracle Crack Ziligoma Kutoa Hio Network Lock
okay mkuu
 
ninahitaji ku unlock simu, simu yangu ni huawei y530 inatumia mtandao wa tigo imei namba ni 869563010502927 msaada tafadhali
 
Mkuu huwezi ku decrypt kwenye computer nyengine inabidi urudishe computer ile ile ilio encrypt, unless Kuna software fulani ama tip fulani ya encrypt iliotumika.
Chief mkwawa naomba msaada nimenunua simu sumsung tab a6 .haishiki mtandao . inaandika insert sim card wakat card imo lkn nikienda kwenye setting hata lile neno nertwork seting halipo kwenye simu na haikamati mtandao wowote

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom