Tumia njia hizi kupata network unlock code by imei number

Yani kumbe unauliza swali

Anyway unataka ku unlock kifaa gani?
Simu zozote zile zinazotumia zilizodhibitiwa kutumia mtandao mmoja na zinadai unlock code
 
Hakuna njia moja kupata unlock code, na karibia asilimia 90 utahitaji kununua kitu fulani ama kulipia hizo code.Vifaa vichache vya zamani ndio unaweza unlock bure.

Dcunlocker wanatoa lock karibia modem na mifi zote sema Bei zao nao zimesimama wanaweza charge Hadi zaidi ya 20,000 Kwa kifaa kimoja.
 
Mkuu niliweka password kwenye external disc ila baadae iligoma kufunguka nkiingiza zile code, je kuna njia nyingine ya kuifungua nipate mafaili yangu?
 
mkuu hiyo dc unlocker ikoje ?

na unaposema unalipia ili upate code unalipia kwa nani?
 
Mkuu niliweka password kwenye external disc ila baadae iligoma kufunguka nkiingiza zile code, je kuna njia nyingine ya kuifungua nipate mafaili yangu?
Mkuu ni swali gumu Sana, maana hizi password zipo za aina nyingi Sana kuanzia password nyepesi ambazo zinaweza kusomwa kirahisi Hadi ecryption Kali ambazo Ni almost impossible kuzi crack.

Hapo labda utafute exactly computer iliotumika kuseti hizo password ndio utumie kufungulia.
 
Mkuu kipindi naiwekea password pale kwenye kipengele cha kuweka password ilinipa option ya "forget password" then ikanipeleka kwenye kuweka namba flan nyinginyingi zipo kwa mafungu nahisi ndo encryption.
Hizo namba ninazo lakini nkiziweka inagoma wakati mwanzo zilikuwa zinakubali.
 
Mkuu huwezi ku decrypt kwenye computer nyengine inabidi urudishe computer ile ile ilio encrypt, unless Kuna software fulani ama tip fulani ya encrypt iliotumika.
 
Hakuna njia moja..kuna njia za tools na zingine za kununua code

Kwa visimu hivi vya tigo sijui unaweza tumia NCK dongle crack ukatoa lock nyingi tu

Kwa sim za samsung unatumia z3x box hata crack inatoa simu nyingi tu zilizokua supported
Pia unaweza nunua code mtandaoni,mim nanunuaga code za mifi hizi huko eBay , unapata hadi kwa dola 1 depends na model ya mifi yako

Pia kuna baadh ya simu au modem una download tu unlocked files alafu unaflash kwa miracle...mfano vile visimu vya button vya voda unapiga file ina MB 4 tu unatoa lock

So njia zipo mbali mbali..we kikubwa ukikutana na lock ya sim njoo hapa jukwaani tutakusaidia kutoa hiyo lock.

Simu zozote zile zinazotumia zilizodhibitiwa kutumia mtandao mmoja na zinadai unlock code
 
Dongle walizonazo kama zipi na zinatoa simu zenye chipset ipi na ipi?.

Kama hutojali mkuu naomba hatua za kulipia ili upate hizo codes, na credit card ni nini?
Unalipa kwa credit card, sema Kama unatoa lock vifaa vingi unanunua dongle Yao, ukiwa nayo una unlock vitu vingi bure. Dongle Ni around dola 100 Mpaka 150 AliExpress.
 
Hakuna njia moja..kuna njia za tools na zingine za kununua code

Kwa visimu hivi vya tigo sijui unaweza tumia NCK dongle crack ukatoa lock nyingi tu

Kwa sim za samsung unatumia z3x box hata crack inatoa simu nyingi tu zilizokua supported
Pia unaweza nunua code mtandaoni,mim nanunuaga code za mifi hizi huko eBay , unapata hadi kwa dola 1 depends na model ya mifi yako

Pia kuna baadh ya simu au modem una download tu unlocked files alafu unaflash kwa miracle...mfano vile visimu vya button vya voda unapiga file ina MB 4 tu unatoa lock

So njia zipo mbali mbali..we kikubwa ukikutana na lock ya sim njoo hapa jukwaani tutakusaidia kutoa hiyo lock.
Mkuu naomba hiyo website unayonunua

Pia kama hutojali naomba namba yako PM.
 
Hakuna njia moja..kuna njia za tools na zingine za kununua code

Kwa visimu hivi vya tigo sijui unaweza tumia NCK dongle crack ukatoa lock nyingi tu

Kwa sim za samsung unatumia z3x box hata crack inatoa simu nyingi tu zilizokua supported
Pia unaweza nunua code mtandaoni,mim nanunuaga code za mifi hizi huko eBay , unapata hadi kwa dola 1 depends na model ya mifi yako

Pia kuna baadh ya simu au modem una download tu unlocked files alafu unaflash kwa miracle...mfano vile visimu vya button vya voda unapiga file ina MB 4 tu unatoa lock

So njia zipo mbali mbali..we kikubwa ukikutana na lock ya sim njoo hapa jukwaani tutakusaidia kutoa hiyo lock.
Mkuu vp kuhusu hizi vodafone mini tab coz hadi nilirequest code kutoka unlocklocks.com lkn wakaishia kunipa refund tu coz hawakuweza kupata code
 
Dongle walizonazo kama zipi na zinatoa simu zenye chipset ipi na ipi?.

Kama hutojali mkuu naomba hatua za kulipia ili upate hizo codes, na credit card ni nini?
Nimekupa website mkuu ingia taratibu Soma list nzima ya simu/modem/router wanazo unlock maana Ni ndefu kupita maelezo then compare na mahitaji yako.
 
Back
Top Bottom