feelings iko kwenye kitu kinachoitwa unconsciousness ambacho kinamuunganiko wa moja kwa moja na milango mitano ya fahamu. Lakini consciousness iko na muunganiko wa moja kwa moja muono wa mtu katika ulimwengu wa more than 3 dimension.NAPINGA HOJAAAAAAA! Concious is just a feeeling and it will never amount to anything more than a MERE FEELING.
feelings iko kwenye kitu kinachoitwa unconsciousness ambacho kinamuunganiko wa moja kwa moja na milango mitano ya fahamu. Lakini consciousness iko na muunganiko wa moja kwa moja muono wa mtu katika ulimwengu wa more than 3 dimension.
Yaani aetheric body. Na inauwezo wa kufungua jicho la tatu na kumfanya mtu awe psychic. Vile vile inamfanya mtu ajue reality.
Ndio maan nasema umechanganya vitu viwili tofauti. Consciousness and unconsciousness ni vitu viwili tofauti. Kitu kinachomfanya mtu awe na hofu ni baada ya physical thing to happen. Na inatokana na elimu aliyofundishwa kuwa kuua ni vibaya inamkumbusha. Na hiyo elimu imekaa kwenye mind(unconsciousness). Lakini consciousness ni internal power ambaya inaonekana dhahili katika ulimwengu wa damu na nyama ikiruhusiwa kutenda. Na ni njia moja tu kwa sasa iliyogunduliwa ya kuweza kuiaccess "Meditation"MAYBE, MYBE NOT! Mi nachosema it is just a feeling in the sense that YOU CAN NOT SEE, TOUCH OR HEAR IT.
It is something we believe it to be there, IT MIGHT NOT EVEN BE THERE. Manake unakuta muuaji anaua mara 1, concious inamtisha tisha, then akikaza akaua mara 2, 3 anagundua CONSCIOUS IS A CAMOUFLAGE. Just his mind playing tricks on him.
Like i said MAYBE OR MAYBE NOT this is true.
Ndio maan nasema umechanganya vitu viwili tofauti. Consciousness and unconsciousness ni vitu viwili tofauti. Kitu kinachomfanya mtu awe na hofu ni baada ya physical thing to happen. Na inatokana na elimu aliyofundishwa kuwa kuua ni vibaya inamkumbusha. Na hiyo elimu imekaa kwenye mind(unconsciousness). Lakini consciousness ni internal power ambaya inaonekana dhahili katika ulimwengu wa damu na nyama ikiruhusiwa kutenda. Na ni njia moja tu kwa sasa iliyogunduliwa ya kuweza kuiaccess "Meditation"
Cosciousness inaongezwa na cosmic energy zinazovutwa na mtu wakati anafanya meditation. Hii kitu siyo may be ni real, dhahili na kweli.
Ni rahisi sana. Hiyo hali huwa ipo sana na hutokea tu. Hebu jaribu sikumoja weka headphone kwenye masikio yako, piga wimbo fulani wa taratibu. Fumba macho, kaa sehemu bila kuusumbua mwili wako. Acha pumzi itoke kawaida.mimi ni dadisi sana lakini nashindwa kumeditdte yan kutoka kwenye mawazo yangu na kuinhia kwenye ulimwengu huo wa conciousness nifanyeje?
Ndio maan nasema umechanganya vitu viwili tofauti. Consciousness and unconsciousness ni vitu viwili tofauti. Kitu kinachomfanya mtu awe na hofu ni baada ya physical thing to happen. Na inatokana na elimu aliyofundishwa kuwa kuua ni vibaya inamkumbusha. Na hiyo elimu imekaa kwenye mind(unconsciousness). Lakini consciousness ni internal power ambaya inaonekana dhahili katika ulimwengu wa damu na nyama ikiruhusiwa kutenda. Na ni njia moja tu kwa sasa iliyogunduliwa ya kuweza kuiaccess "Meditation"
Cosciousness inaongezwa na cosmic energy zinazovutwa na mtu wakati anafanya meditation. Hii kitu siyo may be ni real, dhahili na kweli.
Nimeeleza kuwa meditation ndio njia pekee ambayo inatusaidia kuwa karibu na consciousness zetu.sasa Annael wewe umetuambia watu tutumie consciousness zetu lakini very unfortunate hujaeleza ni jinsi gani mtu anaweza itumia siyo watu wote wanjua kwamba ni wakati gani anatumia consciousness yake au just unconsciousness hapo lara 1 tayari kashatoa yako ambayo ni completely distinct from your perspctive je wasio jua kutofautisha hizo feelings na consciousness itawezekana kweli. dont tell them what to do, tell them how to do.
haha kusema meditation pekee haitoshi bado unarudia kitu kilekile sema how a person anaweza meditate vinginevyo bado utatusaidia kidogo kama kweli hicho kitu kinasaidia.