Tumia mitandao ya kijamii kujenga thamani yako(value)

Tumia mitandao ya kijamii kujenga thamani yako(value)

Wakusolve

JF-Expert Member
Joined
Jul 30, 2020
Posts
506
Reaction score
798
Tumia mitandao ya kijamii kujenga thamani yako.

Vijana wengi wanatumia mitandao ya kijamii kufutilia thamani za wengine kuliko kujenga za kwao hili nao wafutiliwe na wengine wajifunze maisha kutoka kwao.

Kama kijana kitu cha kwanza badili mtazamo juu ya maisha yako,
unataka kujenga kitu gani hili wengine wajifunze kutoka kwako kumbuka Mungu anatambua thamani yako.

tumia muda mwingi mtandaoni kufutilia watu wanaofanya kile unachokifanya kwenye maisha yako au wanaokujenga kupiga hatua.

kama wewe mfano kinyozi futilia vinyozi wanzako wanafanya nini na wewe uboreshe wapi ili kuweza kukuza ujuzi wako.

Anza kupost kile unachofanya hata kama upo mtaani huna ofisi kubwa mfano kinyozi, saloon, mamantilie n.k .
post mara kwa mara bila kukata tamaa hii itajenga jina na kuibua fursa mpya.

Unapokuwa na account ya social media imejaa kazi zako inakusaidia kutengeneza kumbukumbu(documentary) ambayo unaweza kuangalia kama unapiga hatua au laa.

Pia unatengeza kitu ambacho wengine watajifunza kutoka kwako na kuamini mafanikio yanawezekana
hii tunasema unaacha legacy, unafanya watoto wako wajifunze kutoka kwako kupitia tu social media na kuwajenga zaidi.

Unaweza share mambo yako binafsi sio mbaya lakini tumia muda mwingi kushare kile unachofanya hiwe kazi, kipaji, biashara, ujuzi n.k
 
Ni sahihi MJ lakini wakati mwingine kufuatilia kitu kimoja kinaboa mfano mimi labda ni dokta sawa nitafuatilia mambo ya afya ila kichwa kitachoka wakati mwingine kupata entertainment lazima nitembee na content za burudani mdano bongo star search au nikasilize planetbongo ni kawaida tu hiyo..kikubwa kubalance education na burudani ila vijana wengi wako addicted na upande wa burudani pekee na umbea na challenge za kipuuzi puuzi...ndo maana nashangaa sana kijana anasoma chuo let's say IT au engineering kweli anashindwa ku post hata content zake akizungumzia masomo yake vijana Hawajui kama social networks platform inaweza kuwa pia reference kama cv yako hasa kwenye international organizations..ndo maana mimi baada ya kupata hii akili nilikwenda ku hide picha zote binafsi na soon nitaanza ku post kuhusu mambo ya education uzuri my major ni nzuri sana environmental iko na topics nzuri sana kuzifanyia content
 
Pamoja mkuu🤝🤝
 
Back
Top Bottom