Barakha John
Member
- Sep 24, 2024
- 40
- 124
Tanzania kila inayo itwa leo watu hutapeliwa ,wengi hupotezea kwa sababu ya udogo wa pesa wanazo tapeliwa ….
Fikiria kama ukitapeliwa laki 3,4 au MILLIONI.
Ni pesa nyingi eeh…. Kama haupo makini unapo enda kununua simu au Laptop hasa kariakoo na wewe ni suala la muda tu kutapeliwa…
Kwanini ? soma stori hii hapa…chini.
Ahaaaa ….usikimbilie stori tufahamiane kwanza si ndio ?;
Naitwa Baraka ….ni mzoefu katika soko la simu na laptop kariakoo…Kwa zaidi ya miaka 5 sasa nauza simu na Laptop.
Nimeona mengi watu wakitapeliwa na kuuziwa vitu feki kila kukicha , nikasema haiwezekani
Ni lazima ,
Niwe na wasanua, hasa kwa mwenyewe kuwa mfano wa kuuza vitu original na kutoa tips za kuto kuibiwa iwapo utahitaji kufanya biashara na watu wengine.
Tuendeleeeeee…..
Ilikuwa jumapili moja,asubuhi.
Mwezi wa 3 hivi mwaka 2025 nikiwa naishi zangu maeneo ya Goba ….siku hiyo sikuwa na ratiba ya kuingia kariakoo….
Maana jumapili ni siku ya Mapumziko.
Nikiwa naendelea kufikiria idea za content za kupost instagram , huku kimvua kikiwa kinapiga .
Simu yangu ikaita kuangalia ni namba mpya…
Nikapokea , sauti ya mtu makamu kama miaka 19-21 hivi ikasikika.
Broo habari,,,
Nakufuatilia sana kwenye mitandao ya kijamii wewe si ni MWANAKIDIGITALI ?
Bila kuchelewa nikamjibu, NDIO
Ahaaaa bora ,nipo njiani nakuja kariakoo nahitaji simu …(akasema)
Sawa ,nikamjibu ,ila leo siingii dukani nakupa namba ya kijana wa dukani atakuhudumia….
Hakuna shida akanijibu kijana yule kwa sauti ya Bashasha….
Nikamuelekeza mbaka dukani, alipofika akaniulizia kuhusu SONY EXPERIA 10 IV nilipo mtajia bei ,
Akasema kaka ,bei yako ni ghali mimi naondoka ,
Nikajaribu kumsihi juu ya ubora wa simu hakunielewa .
Siku ya pili ….
Jumatatu asubuhi na Mapema …..
Nakumbuka ilikuwa mida ya saa 3 inaenda saa 4 asubuhi
Wakati naposti bidhaa mtandaoni ,nikamuona dogo mmoja Mlangoni ameshikilia simu mkononi,huku akitoka machozi.
Ile wakati sijakaa sawa ,kuna rafiki Yangu mmoja duka la jirani…akaja akafungua mlango akaniita MWANAKIDIGITALI ,,,,,,,huyu dogo anasema anakutafuta lakini anahisi hawezi kukuona kirahisi na kukufikia ni ngumu…
Nikamuita ndani ,akawa anashangaa na kuonesha kama amepata tumaini jipya.
Nilipo mdadisi akasema mimi na baba yangu huwa tunakufuatilia sana mtandaoni sijaamini kukuona live ,....
Jana nilikuja hukuwepo lakini ulinielekeza hapa , sikununua simu nilienda kununua sehemu nyingine.
Nikakumbuka ,na kuangalia message yake aliyo niambia nauza ghari amepata wanapo uza bei nafuu.
Shida nini ? nikamuuliza…
Kaka yaani jana ulivyo nitajia bei ilikuwa ni hiyo hiyo aliyo nipa Baba kuja kununua simu , lakini nikaenda kununua wanapo uza bei rahisi ili na mimi nipate chochote kitu …
Eheeee,,.... Mimi naendelea kuhoji
Sasa baada ya kununua simu nafika nayo nyumbani kioo kina cheza cheza , simu inapata moto na inaisha chaji haraka , nimerudi wamekataa kupokea simu wanadai walinipa simu nzima.
Kibaya zaidi…..
……….. simu ni ya baba hataki kuelewa na sijui leo narudije nyumbani bora ningekusikiliza ile jana… machozi yakawa yana mlenga lenga .
……Alikuwa ni kijana mdogo nikamuonea huruma sana …..
Akanipeleka alipo nunulia simu ….,nikajaribu kuongea nao na sababu najua aina ya simu wanazo uza na tupo wote kariakoo ,
Na…….
kuwaaminisha kuwa yule ni mdogo wangu jana yake alikosea duka maana hakuwahi kufika akaja kwenu kununua bila kujua ,walikubali kurudisha pesa …
Na nikampa simu nyingine na warranty ya miezi sita 9maana ni simu used ya DUBAI)… lakini hadi leo ananiletea rafiki zake wengi sana na anazidi kunishukuru.
Kwanini nimekupa hadithi hii?....
Kuna muda wateja wengi wanaamini wanajua kila kitu kuliko wauzaji , na wauzaji wachache sana hasa kariakoo walio amua kujikita kuuza vitu original ….
Pengine siku ukataka kununua simu tofauti na ,kwetu SIMUKIDIGITALI nimeamua kukupa mbinu hizi 7 Bureee namna ya kukagua simu yako hatua kwa hatua….\
Ili usiuziwe simu ya mchongo kama huyu kijana wa kwenye stori hapo juu….
……….Mbinu hizi zinafanya kazi kwa simu iwe mpya au used , utajua kama ni original au laaah.
Mbinu hizo ni kama ifuatavyo…..
1️.Hakikisha IMEI ni halali
Kwa iPhone, hakikisha haina iCloud ya mtu mwingine.
Kwa Android, hakikisha haina Google FRP lock.
Ukiona inaomba account ya mtu mwingine, usiinunue.
Simu nyingi za “Dubai used” zimefunguliwa na kutengenezwa.
Dalili:
Usikubali kununua kwa warranty ya mdomo .
Hakikisha unapewa warrant inayo eleza aina ya simu na muda wa warranty.
Wauzaji wa simu na Laptop ni wengi ila wanao uza original na grade A ni wachache sana na mara nyingi watu wengi hukwepa kuuza vitu original kwa sababu havina faida kubwa , hivyo wanapenda kuuza feki au grade B ili wapate faida kubwa.
Sasa hapo anaye umia ni wewe… mnunuaji.
Zingatia….
Epuka kununua vitu vya bei rahisi zaidi kuliko zile za kawaida ,kuna uwezekano uakawa unatapeliwa au kuuziwa kitu ambacho hakina ubora .
Pia ,
Jaribu kufanya research juu ya bei halisi ya kitu unacho taka kununua , maana kuna wengine wanaweza kukuuzia bidhaa ya bei ndogo kwa bei kubwa.
Ukishindwa tutafute sisi tukupe SIMU na Laptop zenye ubora kwa bei nafuu , na huwa tunaweka wazi bei ya kila bidhaa tunazo uza kupitia mitandao yetu ya kijamii…. Ingia instagram ,fb au tiktok search SIMUKIDIGITALI
Hata kama unahitaji kitu nje ya sisi ntunavyo uza tutafute tutakusaidia kukuunganisha na supplier wa uhakika pale kariakoo ntuao fahamiana nao.
Hata kama unahitaji kwa jumla .
Umejifunza chochote …..?
Always remember the name Baraka John from SIMUKIDIGITALI .

- Piga *#06# uone IMEI.
- Linganisha IMEI ya kwenye box (kama ipo) na ya kwenye simu.
- Hakikisha haijaripotiwa kuibiwa (blacklisted).
Simu nyingi za “Dubai used” zinaweza kuwa refurbished au zilitoka kwa mikopo nje.
Kwa iPhone, hakikisha haina iCloud ya mtu mwingine.
Kwa Android, hakikisha haina Google FRP lock.
Ukiona inaomba account ya mtu mwingine, usiinunue.
3️. Kagua hali ya betri 🔋
- Kwa iPhone: nenda Settings > Battery > Battery Health
- Angalia asilimia (ikiwa chini ya 80% jiandae kubadilisha betri)
- Uliza kama betri ni original au ilishawahi kubadilishwa.
4️. Test kila kitu kabla ya kulipia
Usione aibu dukani. Test:- Camera (front & back)
- Speaker & mic
- Fingerprint / Face ID
- Touch screen (andika kila kona)
- WiFi & Bluetooth
- Charging port
Simu nyingi za “Dubai used” zimefunguliwa na kutengenezwa.
Dalili:
- Screen rangi si halisi
- Mwanga mdogo
- Body imebadilishwa
6️. Uliza warranty ya maandishi
Duka la uhakika Kariakoo linatoa hata wiki 1– mwezi 1 warranty.Usikubali kununua kwa warranty ya mdomo .
Hakikisha unapewa warrant inayo eleza aina ya simu na muda wa warranty.
7️. Hakikisha unanunua kwa mtu/watu sahihi