Tumia hizi 48 Laws of power katika biashara yako

Tumia hizi 48 Laws of power katika biashara yako

youngkato

JF-Expert Member
Joined
Sep 3, 2014
Posts
3,638
Reaction score
3,641
Black & Yellow Bold Design Courses YouTube Thumbnail.png

1. Never outshine your client​

Mfanye mteja wako aone bidhaa au biashara yako ipo kwa ajili yake. Asione kama anakupatia pesa yake bali ajione atapata faida kubwa sana kulinganisha na huduma anayoipata.

Tunafanya hivi kwa kutoa huduma katika mfumo wa packages ili mteja aone amepata vitu vingi kwa kutoa pesa kidogo, pia hutakiwi kuwa mwongeaji sana.

2. Don’t rely on friends in business; leverage from competitors​

Usitegemee marafiki na ndugu zako kwenye biashara, siku zote mtu anayekujua vizuri hawezi kukupatia pesa zake. watu hutoa pesa kwa strangers. (Ndugu na majirani watakuonea wivu tu)

Tumia mbinu, iga, iba, chukua wateja kutoka kwa washindani wako au wafanyabiashara wengine.

3. Never reveal your full business plan​

Usioneshe kila kitu kwa wateja wako, mfano siri za machimbo yako, siri za kuandaa mzigo wako, unapochukua bidhaa zako.

Wateja wanataka matokeo tu, ukionesha siri na strategy zako wanaenda hukohuku.

4. Speak less, sell more​

Kuna kanuni moja nilijifunza kwa mtu wa sales wa logan herbal clinic anasema: “Msikilize mteja anataka nini, Mpige maswali ya kitaalamu, Mpatie offer yako”

Ukijifanya mwongeaji sana unampoteza mteja wako (Utajichanganya).

5. Protect your reputation (Linda brand yako)​

Kosa moja kwa mteja linawezak kukuharibia biashara yako yote, Linda brand yako at all cost usikubali ichezewe au kupata sifa mbaya.

6. Create attention​

Kama hujulikani hakuna mtu atajileta mwenyewe kununua, jitngaze sana, piga kelele sana, onekana kwa kila mtu, onekana kila siku, piga kelele kuliko wapinzani wako. (Utapata wateja kulingana na watu wanaokujua)

7. Get others to do the work for you, but always take the credit.​

Hii naitumia sana kwenye mishe zangu, (Tumia watu). Huwezi kufanya kila kitu mwenyewe bila kufanya lavarege. Mfano mimi kwenye freelalncing mara nyingi natafuta kazi lakini natumia vijana wengine kuzifanya.
Mfano mzuri ni hawa mawinga wa maduka ya jumla.

8. Build bait that attracts your ideal customers.​

Tunaziita lead magnet. Hii inafanyika kwa kutengeneza content nyingi sana za kuvutia wateja, kuandika sana content, na kutoa offer nyingi ambazo zitatumika kama chambo kuvutia wateja.

Mfano victoria agency huwa tunasaidia biashara za makampuni kwa kuwatengenezea content za kuvutia na kuongeza wateja kwenye biashara zao. Tuatumia kitu inaitwa clickbait kwenye content zetu kila anayeona content zatu lazima atavutiwa kuangalia. kupata huduma hii nitafute whatsapp number wa.me/+255693880325

9. Win deals with proof and performance, not debates​

Huwa tunawaambia wateja wetu: Kitakachokuletea wateja sio bidhaa tu kuwa nzuri, bali NI SHUHUDA

Watu wananunua shuhuda. Post shuhuda,waoneshe kila siku, onesha matokeo

Mfano huyu mteja kwa $66 alipata wateja zaidi ya 4000+ baada ya kufanya kazi na victoria agency kwa kutumia mbinu ya shuhuda tu

1*e-NeRNv3-VsOL1DG5Dr2Jg.jpeg

10. Avoid clients who drain energy or bring chaos.​

Tunawaita negative clients, hawa ni sumu af hawana hela zaidi ya kukuchafulia brand yako. Unaweza kuongea naye masaa mawili kumbe anakuchora tu.

Lazima ujue kuchuja wateja mapema sana ili usipoteze muda na nguvu zako.

Huwa tunawachuja kwa kuwapatia direct offers, au kupandisha bei za huduma. Mara nyingi wakiona hivyo wanakimbia mbio.

11. Create customer dependence on your solution.​

Jitahidi mteja wako arudi, ni either kwa kufata huduma nzuri au kurudi kuchukua tena bidhaa, hakikisha unmuwekea demand ya kumfanya arudi tena au akutegemee.

Kama bidhaa yako haitamfanya mteja arudi, ongeza bei umalizane naye kabisa.

Usimpatie mbinu zote mteja.

12. Offer value before asking: Learn to give before you take​

Kuna kitabu kinaitwa JAB JAB HOOK yaani toa value, toa value, kisha uza.

Usitumie njaa zako kuuza toa value, fundisha, wape sababu afacha wafanye maamuzi yao

13. Itaendeleaa​



Tumefanya biashara nyingi kukua kwa kutumia hizi sheria 48 za kukuza biashara yako tutakusaidia kufanya hivyo kwa kukuletea wateja, kuktangazia na kufanya branding kwenye biashara yako pamoja na kukufundisha mbinu za kuongeza wateja kwa kutumia hizi sheria 48. Tutafute whatsapp wa.me/+255693880325
 
Back
Top Bottom