Tumia ChuraJasusi ku-control computer yako,download hapa

Okay...hapo kwenye kuitumia kama hacking tool...ndipo swali langu lilipo.

Maybe let me rephrase my question, what kind of people or systems are vulnerable to this 'hack'? How do you deliver the payload to the target system, and what does it take to do so?[/QUOTEdude
u t really curious to know how this system works.
i encourage you to buy it.
 
and it's very addicting. Unatuma command (naziita Amri)
mfano
fungua movie.avi

hiyo movie inafunguka , 😉 comeOn

why should i type Fungua MOVIE .. while i can just Double Click !! na movie ikafunguka...?
 
dude
u t really curious to know how this system works.
i encourage you to buy it.

Big mistake. Chickening away from questions.

But you still did a good job. Keep it up. Just dont exaggerate next time.
 
why should i type Fungua MOVIE .. while i can just Double Click !! na movie ikafunguka...?

flat screen yangu ya ukutan nimeiconnect na computer ambayo nimeificha ndani ya kabat. Hivyo nikitaka kuchek movie huwa naconnect na churajasusi kwa kutumia simu yangu ya android. kisha naperuz file system kutafuta movie ninayotaka kuangalia kisha ,natuma command hiyo.. Hivyo napunguza usumbufu wa kufungua kabati then nichomeke mouse . the nianze kuclick kwenda movie zilipo. kwangu njia hii naona ni rahis ya kusend command naona ni very direct
 
Kuna software inaitwa hippo lite it does that very well yan unaweza kutype kuselect movie or do anythng kwenye pc kwa kutumia simu yako iliwemo ku move cursor open files open programs kwa simi mimi uwa naitumia nikiwa nimeunga laptop kwenye screen.
And it is free
 
application kama hizo huwa zinakula sana memory ya simu yako na kufanya simu yako iwe slow kwasababu cpu nayo itakuwa inatumia muda wake mwingi katika kuprocess sehemu hiyo ya memory. Pia rendering ya data zinazowakilisha picha ya screen ya laptop yako itakuwa ni ya kasi sana ili kukupa illusion. uki-move consuor unaona inamove. hii inatengeneza kitu kama loop katika simu yako na katika laptop yako . hivyo umeme unaotumika hapo ni mwingi sana. Ukiiacha simu yako hiko connected kwa mda mrefu itachemka na battery itaisha mapema.

churajasusi haitengenezi hiyo loop. ukituma command kutakuwa na trafic katika network. command ikishakuwa procced na majibu kurudishwa. no trafic. Hivyo naweza nikaiacha ikiwa connected kwa mda mrefu bila simu kuchemka ,battery inatumika normal na kasi ya simu iko normal

app kama hizo ni za kuongopa sana kwani zinaharibu hardware yako. na matumiz ya battery pia. thats y ni free.

app kama hizo sometymz huwa zinatengenezwa tu ili ku-prove point kwamba kitu kama hicho kinawezekana.

computer science na programmer wengi huwa hawazitumii mara kwa mara. wengine wanazikwepa kabisa
 
nna wasi wasi hata kama hio app umetngeneza wewe sababu whole concept ya remote connection hapa hujaielewa.

ninapofanya streaming ya desktop au game console kwenye simu au tablet yangu process kubwa inafanyika kwenye ile desktop au console na sio huku kwenye simu. simu inabakia kama display tu yakuonyeshea.

maneno yako ni kama kusema monitor itapata tabu au itachemka sababu narun vitu vikubwa sana kwenye desktop yangu kitu ambacho sio sahihi.

angalia hii picha
1430518304.jpg

hapo kuna tv, xbox one na surface 3. surface 3 ni tablet tu haina power ya kucheza games kubwa kama xbox one hivyo inachofanya hapo inastream hilo game toka kwenye xbox one, hivyo unaweza kaa chumbani na tablet yako ukaacha xbox yako sebuleni, ukawa unacheza game huko chumbani japo xbox ipo ukumbini. kwa concept yako ni kwamba surface 3 ingechemka sababu cpu yake inatumika kuprocess hilo game lakini si kweli xbox ndio inaprocess hilo game wakati hio tablet inatumia cpu kidogo tu kama ya kuplay video.

na labda nikuulize swali tu hio app yako inatumia protocal gani kuconect computer na kifaa kinachocontrol computer
 
mkuu churaxzbt8 umetumia vigezo gani kufikia iyo bei ya dola 12?
 
Last edited by a moderator:

Nikupongeze kwa kutengeneza ulichotengeneza lakini pia we jamaa mtu wa porojo sana hadi nimejikuta nacheka kwa hayo uliyoandika.
Nakupongeza kwa kazi yako na pia nakupongeza kwa kunipa sababu ya lucheka
 
Asante mkuu ,ila
umecheka kwa sababu u dd't understand a damn thing. uliposoma maelezo yangu
 
nna wasi wasi hata kama hio app umetngeneza wewe sababu whole concept ya remote connection hapa hujaielewa.

ninapofanya streaming ya desktop au game console kwenye simu au tablet yangu process kubwa inafanyika kwenye ile desktop au console na sio huku kwenye simu. simu inabakia kama display tu yakuonyeshea.

maneno yako ni kama kusema monitor itapata tabu au itachemka sababu narun vitu vikubwa sana kwenye desktop yangu kitu ambacho sio sahihi.

angalia hii picha
1430518304.jpg

hapo kuna tv, xbox one na surface 3. surface 3 ni tablet tu haina power ya kucheza games kubwa kama xbox one hivyo inachofanya hapo inastream hilo game toka kwenye xbox one, hivyo unaweza kaa chumbani na tablet yako ukaacha xbox yako sebuleni, ukawa unacheza game huko chumbani japo xbox ipo ukumbini. kwa concept yako ni kwamba surface 3 ingechemka sababu cpu yake inatumika kuprocess hilo game lakini si kweli xbox ndio inaprocess hilo game wakati hio tablet inatumia cpu kidogo tu kama ya kuplay video.

na labda nikuulize swali tu hio app yako inatumia protocal gani kuconect computer na kifaa kinachocontrol computer

inatumia Transmission Control Protocol.

sijajua kama maelezo yako ni kweli kwamba baada ya kucheza ilo game kwa muda mrefu hiyo surface 3 haitachemka, kwa sababu sjawahi kujarbu hicho kitu labda nikuulize je wakat unacheza hilo game hiyo surface unakuwa umeiconnect na charger au la?.

Jamaa aliyeuliza ilo swali alikuwa anazungumzia simu na wala sio tablet. Ukiuliza mtu yeyote humu jf ,Kati ya tablet na simu ipi inaprocessing power kubwa? -atakuambia tablet, maana ukubwa wa kioo(LCD) ni moja ya factor inayotumika kuchagua ni cpu hipi itumike katika hardware zinazotumia dispay kama output. Hii ni kwasababu kioo kikubwa kina pixels nyingi kuliko kioo kidogo. Na hizo pixels zote zinatakiwa kuwa-maped kwenye memory ili cpu iweze kufanyia kaz hiyo memory.
 
mkuu churaxzbt8 umetumia vigezo gani kufikia iyo bei ya dola 12?

this system is Safe, Fast,Easy to use ,Efficient
and the results are Predictable. Tuma amri(command) ,kama amri uliyotuma ni sahihi subiri matokeo sahihi
 
Last edited by a moderator:
programu ya android ya kutuma amri(command) kwenda kwa ChuraJasusi
 
Attachments

  • SC20150605-174152.png
    SC20150605-174152.png
    8.2 KB · Views: 156

please eximine sehemu muhimu ya code yangu.

#include "commandline.h"
#include <iostream>
#include <QMetaObject>
#include "churaio.h"
#include <windows.h> //kwa ajir ya rangi

commandLine::commandLine(QObject *parent) : QObject(parent),ThisBoxDir(new mydir(this)),churaSErver(new QTcpServer(this)),clientMpya(new QTcpSocket(this))
{
NatakaJina = false; //Inasaidia kufanya maamuzi ya kuweka jina la fail au dir
JeImeunganishwa = false;
connect(this,SIGNAL(SIGNALpwd()),ThisBoxDir,SLOT(pwd()));
connect(this,SIGNAL(SIGNALHome()),ThisBoxDir,SLOT(Home()));
connect(this,SIGNAL(SIGNALListOfDrives()),ThisBoxDir,SLOT(ListOfDrives()));
connect(this,SIGNAL(SIGNALrootPath()),ThisBoxDir,SLOT(rootPath()));
connect(this,SIGNAL(SIGNALcd(QString)),ThisBoxDir,SLOT(cd(QString)));
connect(this,SIGNAL(SIGNALcdUp()),ThisBoxDir,SLOT(cdUp()));
connect(this,SIGNAL(SIGNALAppPath()),ThisBoxDir,SLOT(AppPath()));
connect(this,SIGNAL(SIGNALListYaMafileNadirKatikaCurrentDIR()),ThisBoxDir,SLOT(ListYaMafileNadirKatikaCurrentDIR()));
connect(this,SIGNAL(SIGNALTafutaFilePath(QString)),ThisBoxDir,SLOT(TafutaFilePath(QString)));
connect(this,SIGNAL(SIGNALListYaABSOLUTEPATHyaMafileNadirKatikaCurrentDIR()),ThisBoxDir,SLOT(ListYaABSOLUTEPATHyaMafileNadirKatikaCurrentDIR()));
connect(this,SIGNAL(SIGNALFunguaFile(QString)),ThisBoxDir,SLOT(FunguaFile(QString)));
connect(this,SIGNAL(SIGNALSomaFailiAKACat(QString)),ThisBoxDir,SLOT(SomaFailiAKACat(QString)));
connect(this,SIGNAL(SIGNALlistYaMafileNaSize()),ThisBoxDir,SLOT(listYaMafileNaSize()));
connect(this,SIGNAL(SIGNALmkdir(QString)),ThisBoxDir,SLOT(slotmkdir(QString)));
connect(this,SIGNAL(SIGNALmkpath(QString)),ThisBoxDir,SLOT(SlotLmkpath(QString)));

connect(this,SIGNAL(SIGNALremove(QString)),ThisBoxDir,SLOT(SLOTremove(QString)));
connect(this,SIGNAL(SIGNALrename(QString,QString)),ThisBoxDir,SLOT(SLOTrename(QString,QString)));
connect(this,SIGNAL(SIGNALrmdir(QString)),ThisBoxDir,SLOT(SLOTrmdir(QString)));
connect(this,SIGNAL(SIGNALrmpath(QString)),ThisBoxDir,SLOT(SLOTrmpath(QString)));
connect(this,SIGNAL(signalNamba()),ThisBoxDir,SLOT(SLOTNamba()));
connect(this,SIGNAL(SIGnaltempPath()),ThisBoxDir,SLOT(SlottempPath()));
connect(this,SIGNAL(signaSEarchPaths(QString)),ThisBoxDir,SLOT(SlotsPaths(QString)));
connect(this,SIGNAL(SIGnALchurarefresh()),ThisBoxDir,SLOT(sloTchurarefresh()));
///sehemu ya churaServer

connect(churaSErver,SIGNAL(newConnection()),this,SLOT(newconnectionToChuraServer()));
//AnzishaChuraServer();
//naconnect nataka jina
connect(this,SIGNAL(SIGNALNatakaJina()),this,SLOT(SLOTNatakaJina()));
//THENnaconnect ya kupeleka socket
connect(this,SIGNAL(SIGNALpelekaSocket(QTcpSocket*)),ThisBoxDir,SLOT(SLOTchukuaSocket(QTcpSocket*)));
///connection ya rusha thisboxdir
connect(this,SIGNAL(SignalRUSHAThisBoxDir(mydir*)),ThisBoxDir,SLOT(SLOTPOKEAThisBoxDir(mydir*))); //tunaemit singnal yake hapa na kwenye ansisha loop
emit SignalRUSHAThisBoxDir(ThisBoxDir);
}

commandLine::~commandLine()
{

}

void commandLine::anzishaLoopYacommand()
{

emit SignalRUSHAThisBoxDir(ThisBoxDir); //signal nyingine ya rusha
std::string jina,jina2;
for(;😉{
///rangi
HANDLE edo2 = GetStdHandle(STD_OUTPUT_HANDLE);
SetConsoleTextAttribute(edo2, 3);
std::cout <<"ChuraJasusi";
SetConsoleTextAttribute(edo2, 12);//nyekundu
std::cout << ">: ";
SetConsoleTextAttribute(edo2, 7); //rudisha kwenye nyeupe
std::string comMand;
getLine(std::cin,comMand);
//i take the metadata
QMetaObject metaobj = this->staticMetaObject;
QMetaEnum metaenum = metaobj.enumerator(metaobj.indexOfEnumerator("mycmd"));
 
Hiyo program yako inademo? Kama haina demo kwanini usitoe watu wajaribu.
 
Hongera mkuu, namaanisha nenda Github utapata feedback nyingine nyingi zitakazokujenga.. Usivunjike moyo, ni changamoto tuu, kingine pitia bei yako kabla ya kuitangaza public..
Embuu vaa viatu vya mteja.. ingekuwa wewe ungetoa Shillingi elfu kumi kununua?
Inawezekana unajaribu kurudisha muda na nguvu zako ulizotumia lakini angalia soko lako na hali halisi ya uchumi wa mahali unapouza software yako..
Ni mwanzo mzuri mkuu wangu.. Endelea kufanya coding mkuu..
 
this system is Safe, Fast,Easy to use ,Efficient
and the results are Predictable. Tuma amri(command) ,kama amri uliyotuma ni sahihi subiri matokeo sahihi

Toa Demo.
usisahau "greatness take a time"
 
this system is Safe, Fast,Easy to use ,Efficient
and the results are Predictable. Tuma amri(command) ,kama amri uliyotuma ni sahihi subiri matokeo sahihi

swali halijajibiwa mkuu. kwanini dola 12, na sio dola 0.12?
 
Back
Top Bottom