Toa Demo.
usisahau "greatness take a time"
Asante mkuu.Hongera mkuu, namaanisha nenda Github utapata feedback nyingine nyingi zitakazokujenga.. Usivunjike moyo, ni changamoto tuu, kingine pitia bei yako kabla ya kuitangaza public..
Embuu vaa viatu vya mteja.. ingekuwa wewe ungetoa Shillingi elfu kumi kununua?
Inawezekana unajaribu kurudisha muda na nguvu zako ulizotumia lakini angalia soko lako na hali halisi ya uchumi wa mahali unapouza software yako..
Ni mwanzo mzuri mkuu wangu.. Endelea kufanya coding mkuu..
(Chura) whats so special about chura? mi sipati kuelewa chura ana uhusiano upi na program yako. ilo jina lina maana gani?
chura can see forwards,sideways and upwards all at the same time, chura never close his eyes,when he sleep.(Chura) whats so special about chura?
(Chura)mi sipati kuelewa chura ana uhusiano upi na program yako. ilo jina lina maana gani?
Instructions ?
njinsi ya kutumia
install program computer kwenye computer yako na program ya android kwenye simu yako.
fungua churajasusi kwenye computer yako
weka namba ya port
(hii ni namba yoyote , ila nakushauli utumie port nmba 23. kwan hii mara nyingi huwa haitumiki mara kwa mara
weka neno la siri, ili ni neno lolote tu(ni temporary kila ukifungua connection.) kwa ajir ya security.
Chukua ip adress ya computer yako. kufanikisha una- type cmd kwenye start men. . kisha fungua cmd na type ipconfing.
Chukua Ipv4 address .
Njoo upande wa android.
1.ingiza ili port namba
2. ingiza ip adress
bonyeza enter , then utakuwa connected na chura server, itakuambia weka neno la siri.
weka neno la siri, ukikosea utakuwa disconnected, anza upya kuweka hizo details
ukifanikisha , churajasusi atakukaribisha. Anza kutuma command ss
maelezo mazur yenye picha nitapost baadae
Mkuu churaxzbt8 badala kufungua uzi mwingine, modify uzi wako wa kwanza.