Sasa unaweza ku-control computer yako kwa kutumia Ka-simu kako ka-touch au ka- mchina ukiwa popote pale Tanzania. Whaaaaaattt??!!???! 🙂-🙂)
Nilipendelea zaidi -ukiwa popote pale duniani. Lakin hata hiyo -ukiwa popote pale Tanzania, inatosha kuwavuta watu ndani ya thread hii.
System ya churajasusi sasa inapokea Sms za kawaida. hivyo unaweza kutuma amri (command) kwenda kwa churajasusi ukiwa popote pale , palipo na mtandao wa simu.
Nakuona unatabasamu; hizo SMS zako 300 za cheka sasa zimepata kazi ya kufanya. Muda si mrefu utaanza kuchati kwa sms na ChuraJasusi.
Tuma Amri kwa sms ,Naye atajibu kwa SmS.
Churaxzbt8 ,Natumia system ya churajasusi kwa,Kuwasha na kuzima taa (za wireless), kufungua tv, kupiga nyimbo , kuwasha na kuzima feni, Kupampu maji kwenye tenk, Kufungua bomba la kumwangilizia bustani
Kazi yangu kubwa ni kuandika command katika programu yangu ya android , na kutuma command hizo .
Njia hiyo Haikunisaidia sana hasa pale ninapokuwa mbali na wireless ya nyumbani
Ndipo wazo la Sms za kawaida likanijia kichwa.
Sms unatuma popote ulipo na inamfikia mpokeaji popote alipo endapo tu kama kuna mtandao wa simu.
Na mtandao wa simu unapatikana karibia sehem zote hapa Tanzania.
So Nitawezaje kufanya mfumo huu kutumia hii njia ya mawasiliano.
jibu ni rahis kabisa.
Kutumia moderm inayotumika kuunganisha internet kwenye computer, moderm hizi zinauwezo wa kutuma na kupokea sms, so how do they do it?.
churaxzbt8 "hey mr google how do they do it???"
mr google " ooh ! U mean how usb moderm and the dashboard communicate with each other?"
churaxzbt8 " ooh YES S !!, thts wat i mean"
mr google " it is simple, dowload this pdf file & start leadng from page 0 to page 756"
Churaxzbt8 "ok 🙁"
Baada ya kushinda week na pdf hiyo. nimeweza kuifanya churajasusi kutuma na kupokea message. (sms)
command hizo za sms zitaingia katika system ya churajasusi kwa kupitia katika modern ya internet.
Katika majaribio,
Nimefanikiwa kuiprogram moderm ya hauwei k3565 z
kutuma na kupokea sms , kutokana na instruction zinazotoka kwa churajasusi.
Hiyo toleo jipya la churajasusi , popote pale ulipo (Kama moderm imechomekwa kwenye computer) unaweza kuzima computer (na mambo mengine mengi) kwa kutuma sMs.