ladyfurahia
JF-Expert Member
- May 10, 2011
- 14,758
- 9,592
Habari wana cc wote
Nategemea mko fiti na mnaendelea na shughuli zenu za kila siku
kwa wale wasomi wako madarasani sasa, na wafanyakazi vivyo hivyo
na wafanyabiashara leo mnaangalia soko limekaaje, na wanaojitegemea
vivyo hivyo na hata wale wenye mambo ya kawaida wako bize leo.
Awali ya yote napenda leo tumwangalie Bujibuji na usanii wake
anaofanya, huyu my friend alisema kuwa kutakuwa na PRAISE
& WORSHIP MASS CHOIR CC hapa, mpaka sasa imepita malongo
kenda hakuna chochote zaidi ya kupewa ahadi hewa na kuambulia
kuwa viongozi vivuli wa hii group. Mwanzoni alisema kuwa mm nitakuwa
Mwalimu wa Choir hii lakini kadri siku zinavyozidi kwenda, kila nikimkumbusha
mwenzangu wala hanijibu na wakati mwenzake nimeshaandaa masong
mengi na nataka nianze kuwafundisha hao Praise Team ya CC, Simuelewi
kabisa kwanini amekuwa hivyo, na wakati ndiye kiongozi wa bendi yetu au
ameshakula zile hela/fedha tulizopewa na wafadhili wetu huyu?. Please
wana Praise team cc wenzangu hebu mwangalieni mtu huyu jinsi
alivyokuwa msanii sana ameshakimbia na mikwanja yetu. Tumfanyeje
waungwana jamani? Au tumpeleke kwa Pontio Mtambuzi amrekebishe.
NISAIDIENI MAANA MM NIMESHAMSHINDWA ANANIPA TU LUGHA LAINI
KUWA IPO SIKU TUTAFANYA NA MM NI SHAHIDI WAKATI ANAPEWA
MIKWANJA NA WALE WAFADHILI WETU. NAWAACHIE NINYI WENZANGU
NANYI TUMFANYEJE MTU HUYU???
Ona wenzako tulivyojiandaa kuleta badiliko kwenye CC yetu hapa:

Last edited by a moderator: