gimmy's
JF-Expert Member
- Sep 22, 2011
- 3,323
- 3,378
Amini hicho unacho amini wewe kile wanachoamini wenzako waachie wao.Huna sababu yakukwazika kwa jambo lisilo na athari kwako.Unapaswa kujua kwamba hapa duniani zaidi ya 60 hawaamini kwa Mungu huyu tunaemgombania sisi.huyo alikuwa ni mshirikina pure, hili kanisa lilishaharibiwa kitambo kumbe..hakuna miujiza ya hizo unaonekana huku at the same time upo kule..na hii desturi ya kutangazana watakatibu ni tatizo maan ni ibada ya wafu .. na Mungu hapendi mtu akisha kufa hana lake tena hapa ulimwenguni hapo ni yeye na Mungu wake tu asubiri kulipwa kwa kadri ya matendo yake,hii ya kusema unasali kupitia hao watakatifu wafu ni uwongo hata usali mwaka na miaka mtu mfu hawezi kukusaidia kitu..imani yetu wakrito imejegwa kwa Yesu tu yy ndio njia ya uzima hakuna mtu atakayeenda kwa Baba pasipo kupita kwake....
Timiza wajibu wako kwa imani yako