Tumezuiliwa kuandamana | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tumezuiliwa kuandamana

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by tz1, Oct 30, 2011.

 1. tz1

  tz1 JF-Expert Member

  #1
  Oct 30, 2011
  Joined: Mar 19, 2011
  Messages: 2,118
  Likes Received: 30
  Trophy Points: 145
  Kwa sababu, usalama wetu utakuwa hatatarini wakiwa watu wengi kwa wakati mmoja.
  Mechi ya simba na yanga imefanyika vipi,watu wangapi walihudhuria?
  Tofauti iko wapi?au mashabikiki wa mpira kama sisi ni mazezetaaa????????????????????????
   
 2. IGUDUNG'WA

  IGUDUNG'WA JF-Expert Member

  #2
  Oct 30, 2011
  Joined: Oct 22, 2011
  Messages: 1,998
  Likes Received: 887
  Trophy Points: 280
  intelligencia ya magamba kaka huwezi pingana nayo
   
 3. Robati

  Robati JF-Expert Member

  #3
  Oct 30, 2011
  Joined: Oct 3, 2011
  Messages: 292
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 45
  iko siku tuta washinda tu hawa majuha. yaani wameifanya tanzania isiwe mahala salama pa kuishi
   
 4. Mzee wa Rula

  Mzee wa Rula JF-Expert Member

  #4
  Oct 30, 2011
  Joined: Oct 6, 2010
  Messages: 8,177
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  Ile ilikuwa ni sababu, ni kama mtu anapotafuta pa kuanzia katika kitu asichokipenda. Hata kama kusingekuwa na tishio la Al Shababy ingetafutwa sababu nyingine na kuyazuia hayo maandamano.
   
 5. jogi

  jogi JF-Expert Member

  #5
  Oct 30, 2011
  Joined: Sep 25, 2010
  Messages: 19,335
  Likes Received: 12,800
  Trophy Points: 280
  tumethibitisha ujumbe umewafikia, ni swala la muda tu minyukano itawagubika magamba.
   
 6. Wa Kwilondo

  Wa Kwilondo JF-Expert Member

  #6
  Oct 30, 2011
  Joined: Sep 15, 2007
  Messages: 1,083
  Likes Received: 136
  Trophy Points: 160
  Viongozi wa hayo maandamano waoga tu tungeandamana wala wasingetuzuia
   
 7. Mzee

  Mzee JF-Expert Member

  #7
  Oct 30, 2011
  Joined: Feb 2, 2011
  Messages: 12,971
  Likes Received: 2,966
  Trophy Points: 280
  Ina maana hamna imani na serikali yenu.
   
 8. tz1

  tz1 JF-Expert Member

  #8
  Oct 30, 2011
  Joined: Mar 19, 2011
  Messages: 2,118
  Likes Received: 30
  Trophy Points: 145
  Nani anaimani nayo?
  Wamekuwa wasanii.
   
 9. m

  mdau wetu JF-Expert Member

  #9
  Oct 30, 2011
  Joined: Apr 20, 2011
  Messages: 548
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  acheni woga, mngetaka kuandamana mngeandamana tu hakuna wa kukuzuieni. Unacheza na nguvu ya wananchi tazama maandamano ya Wall Street Marekani, Cairo Misri, Sanaa Yemen, Milan Italia na kwingineko.Tatizo mitanzania mioga
   
 10. tz1

  tz1 JF-Expert Member

  #10
  Oct 30, 2011
  Joined: Mar 19, 2011
  Messages: 2,118
  Likes Received: 30
  Trophy Points: 145
  Mkuu waoga hapo ni nani kati ya watz na serikali?
   
 11. N

  NGOWILE JF-Expert Member

  #11
  Oct 30, 2011
  Joined: Sep 8, 2011
  Messages: 454
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Watanzania cku watakapoamua hakuna atakaeweza kuwazuia
   
 12. tz1

  tz1 JF-Expert Member

  #12
  Oct 30, 2011
  Joined: Mar 19, 2011
  Messages: 2,118
  Likes Received: 30
  Trophy Points: 145
  Lisemwalo lipo.
   
Loading...