Tumezikosea nini taasisi za Serikali?

mirindimo

JF-Expert Member
Joined
Nov 2, 2009
Posts
1,116
Reaction score
2,481
Yaani unafanya maombi ya kitu flani kwenye taasisi ambacho utalazimika kukilipia kwa kupata Control number, sasa ili upate Control number inakulazimu tena utoe RUSHWA ili utolewe Control number haraka ukalipie uendelee na mambo yako mengine.

Hizi ni Taasisi ambazo wafanyakazi wake wanalipwa mishahara kwa kodi zetu !! Mimi ntatoa Rushwa sawa lakini ntahakikisha Serikali pia nainyoosha sawa sawa.
 
Mkiambiwa tukinukushe mnaseme hayo ni mambo Tundu lissu, tatizo ni mfumo sio tasisi.
 
Zitajeni hizo taasisi tuzizomee
 
Rushwa ni changamoto ya kimfumo, ata kupata maombezi ya kiimani inabidi mkono urefuke au utoe sadaka iliyonona.
 
Huo mkoa hauna ofisi za PCCB
 
Hatuja zikosea chochpte ila zenyewe ndiyo zimewakosea Wtanzania!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…